mwanamme mmpende mkeo na mke mtii mumeo.where there is luv kuna peace.Ombeanen, kueni na hofu ya Mungu sameheaneni,chukulianeni madhaifu maana hakuna mkamilifu even one.Nina ndoa na haya tunapractice i thanx God peace ipo so naenjoy.Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Pa Moja mkuu kama watasema Haina maana ya kujamiana mbona wake zao wakichepuka wanapaniki na kukimbilia JF kuomba msaadaKiukweli ww ni kama mm ila waliopitia wanasema siyo hivyo Mkuu!
Hii mbona easy!kuuliza mom&dad[emoji16][emoji16]watakachosema usiongeze wala kupunguza ndiyo ndoa hiyo.Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Hi LuvHakuna ndoa rahisi kama Mungu ataachwa mbali na wanandoa wenyewe
Hi......Hi Luv
Miss youHi......