Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

ni vizuri kandika uzi mahususi kuhusu jambo amabalo ungependa wadau wa JF kueleza na kuongeza uelewa na ufahamu wako na wadau wengine, kuliko kujaribu kuhamisha mjadala gentleman :HAhaa:
Umeleta mada kwa njia ya swali, nimekupa related question. Unashindwaje kujibu?
 
Nasisitiza bwana 🌈, hakuna mwanaccm anaweza kufanya siasa nje ya mbeleko ya vyombo vya dola, Mpina ni mfano halisi. Cdm wanaweza kufanya siasa za uhakika maana wananchi wamewaelewa.

Kuhusu mzungu, kwa taarifa yako mzungu hakwepeki, zunguka nchi nzima uone miradi ya misaada ya wazungu iko mingapi nchi hii. Na sasa fuatilia huyo waziri wa mchongo wa mambo ya nje anazunguka wapi kujiliza, na utaje kaenda nchi ngapi za waafrika kujieleza. Mzungu hakwepeki kwa propaganda mfu.

Machafuko rejea warmup ya mo 29, hadi sasa mtuhumiwa kajiundia tume kutaka kuficha ukweli.
kweli umelemaa kifikra gentleman,
yaani unamaanisha chadema bila mzungu haiwezi kujiendesha yenyewe na mzungu haepukiki ndani ya chadema right?

ni muhimu kujifunza kujitegemea na kuondokana na fikra hizo potofu na za kilofa eti mzungu haepukiki na bila msaada huwezi kufanya chochote. Hizo ni fikra dumavu za kimaskini, na kwakweli ni aibu na fedheha kung'ang'ana kabisa bila kusaidiwa na mabwenye chadema au wewe binafsi huwezi chochote.

Hizo porojo zingine nonsense hazina haja ya kunipotezea wakati kuzielezea.
 
Umeleta mada kwa njia ya swali, nimekupa related question. Unashindwaje kujibu?
Gentleman,
hakuna uhusiano kabisa wa kisiasa kati ya uliemtaja na Mpina,
ni wanasiasa wenye hulka na tabia tofauti mno, that's why nimeibua hoja very specific kumuhusu mtu specific

majibu ya mfukoni ni kitu mbaya sana aise:HAhaa:
 
Gentleman,
hakuna uhusiano kabisa wa kisiasa kati ya uliemtaja na Mpina,
ni wanasiasa wenye hulka na tabia tofauti mno, that's why nimeibua hoja very specific kumuhusu mtu specific

majibu ya mfukoni ni kitu mbaya sana aise:HAhaa:
Narudia, unahitaji divine intervention!
 
Ndio sababu nchi imejaa machawa, bungeni tuna viongozi wajinga wajinga wengi, sababu watu wanaogopa kusema ukweli kisa kupoteza dira kwenye siasa.

Taifa limekuwa mi kusifu na kumuabudu raisi tu, tunazidi ingia kwenye giza totoro
serikali sikivu ya CCM inafanya kazi nzuri zaidi kijamii, kiuchumi na kisiasa,
ni muhimu zaidi kupongeza na kusifu jitihada za viongozi wakuu wa nchi kwa jitihada hizo muhimu za kuwaletea wananchi maendeleo,

porojo na uzushi kama unaojaribu kuueleza wewe gentleman, nadhani ni miongoni mwa mambo yaliyompoteza Mpina kisiasa,
na wengi wenye viburi kama mpina watapotea zaidi kisiasa kadiri wanavyokumbatia porojo na uzushi hukua wakiacha kueleza mambo halisi ya maendeleo amabayo yanaonekana kwa macho:HAhaa:
 
Narudia, unahitaji divine intervention!
Gentleman,
ni muhimu zaidi kujita kwenye hoja ambayo kwakweli iko wazi, specific na nyepesi mno kuieleza,

hata hivyo,
ikiwa uko pointless ni vizuri kuketi kimya tu na itapendeza zaidi:HAhaa:
 
Bashe yupo wapi?
Gentleman,
andikia uzi tu na itapendeza zaidi ili wadau wapete nafasi nzuri zaidi kumuelezea mbunge na kiongozi huyo makini wa kutoka mkoa wa Tabora, yuko wapi na anafanya nini kwa sasa:HAhaa:
 
Back
Top Bottom