Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,255
Kamuulize maana inaonyesha anakuchoma sanaAnazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?