Ndiyo anaweza mkuu,kufanya sasa bila kusumbuliwa,hakuna wa kumsbuaAnazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Na wewe kama nani una hoji?wewe unashangaa nchi hii hata ww ukiamua kufanya ruksa acha ngebe.Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Zitafute sheria uone zibasemaje ndio ujeAnazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Kwan Lipumba anafanya siasa kama nani?Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Nana akufo ado aligombea urais wa Ghana zaidi ya mara mbili na kushindwa lakini uchaguzi wa juzi waghana wamemchagua kuwa rais wa nchi yao.Kwakweli Lowassa ifike mahali aone aibu, apumzike ikulu kuna nini, anang'ang'ana tuuuuuu, umri umemuacha
Ina maana kuwa alimununua hadi Mwl nyerere kwani yeye ndiye raisi wa kwanza kumpa cheo na madaraka. Basi lowassa kiboko anafaa kuwa raisiLowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
Mzee wa pushup nae anafaa kuona aibu kuwatia watanzania umaskini.kwa kweli lowasa ifike mahari aone aibu, apumzike ikulu kuna nini, anang'ang'ana tuuuuuu, umri umemuacha
Alishafikishwa kwenye mahakama ya bunge na akahukumiwa kwa kufukuzwa uwaziri mkuu.Lowasa anawatesa na ataendelea kuwatasa. Msipo post habari za Lowasa siku haiingi.
Fisadi mara mwizi, si serikali impeleke mahakamani. Tumechoka na nyimbo zenu za vogoro