Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Mkuu tia mguu na wewe ufanye siasa uzunguke nchi yenu nzima.
 
Lowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] Wenye utambuzi tunamfahamu mwenye chuki tena za asili zinazothibitika katika matendo na maneno yake. Yawezekana unamzungumzia huyo na siyo ENL!
 
Lowassa ni mmiliki halali wa chadema, alimlipa malipo yote aliyekuwa mmiliki wa mwanzo!
Baada ya kuwa amelipa akafutiwa makosa yote yaliyozungumzwa kwa miaka minane.
Hivyo ana haki kukitumia chama atakavyo wala hakuna tena mwenye mamlaka ya kuhoji.
 
Ili upate jibu la hiyo mikutano pamoja na kuwa yeye ni nan, Ni vema ukajiuliza mwaka jana alipata kura ngap za urais..?!

Nimekurahisishia swali, anzia hapo ...!!
Si uchaguzi uliisha au kateuliwa tena kugombea uraisi au kugombea uraisi ni cheo kwenye chama.
 
Lowasa ndie Rais, huyo alieko madarakani ni Rais wa tume ya uchaguzi
 
Kama mshindi halali wa kura za urais mwaka 2015,ambaye hakutangazwa na tume.
 
Kwa kujilazimisha rejea video ya waliokuwa na imani naye
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Anafanya siasa ndiyo nini?
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Ibara ya 18 na 21 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakupa majibu ya maswali yako!Usiwe mvivu wa kusoma
 
lowasa anafanya siasa kama mwenye chadema, mmiliki halali wa chadema, maneja na mkurugenzi chadema, hutaki hama chama
Hujajibu swali,umekurupuka tu!Umeulizwa anafanya siasa kama nani kwenye nchi hii????Ubgejibu hayo kama ungeulizwa anafanya kama nani kwenye chama!
 
Anafanya siasa kama mkogwe wa kupiga madili ya Kifisadi!

Huko ni kuzunga tu anatembelea miradi yake aliyo ipata kwa kuwaibia wananchi walala hoi!
Haya mmeibiwa,mnafanyaje sasa?Au mwisho wenu ni kulialia tu!Mlidanganywa mahakama ya mafisadi sasa mmeinamisha vichwa baada ya kugundua ni geresha tu!Ashasema hafukui makaburi
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Wewe unaandika ujumbe huu kama nani? Kasome katiba ya TZ utalipata jibu lako.
 
Lowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
Wewe na familia yako!!
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Nyoo Lipumba anafanya kama nani acha unyang'ao
 
Lowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
Ko wanaokimbiza kina john mbugan kuwachukua kina saa nane kufany uchumi kuwa mgum hiv wanatufaa ati?
 
Back
Top Bottom