Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani ? Sheria za nchi zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inasemaje kuhusu kufanya mikutano na siasa kwa ujumla?
 
Anafanya siasa kama mtanzania.
Mtanzania yoyote ana haki ya kufanya siasa, wakati wowote, mahali popote hapa Tanzania.

Lowassa anatumia haki yake kama mtanzania.
Lakini usisahau pia Lowassa ndio chaguo rasmi la Watanzania wengi kama rais wao katika uchaguzi wa 2015.
 
Barbarosa hata mimi nashangaa kwani Lowassa ni nani hadi aachiwe afanye mikutano kama wenye nchi yao? Huyua si Kapi, si Oili chafu huyu, si wananchi wameshamchoka kitambo? Tatizo hujatoa wazo tumfanyeje!!
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi tu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Kwani wewe unaleta majungu hapa kama nani?
 
Anafanya siasa kama mtanzania.
Mtanzania yoyote ana haki ya kufanya siasa, wakati wowote, mahali popote hapa Tanzania.

Lowassa anatumia haki yake kama mtanzania.
Lakini usisahau pia Lowassa ndio chaguo rasmi la Watanzania wengi kama rais wao katika uchaguzi wa 2015.
Mkuu hawa muda si mrefu watatuelewa huyu jamaa ni msaliti katumwa na jamaaa yake ni kama yule waziri Mkuu wa lebanon, unamkumbuka aliyegundulika na microphone chooni
 
Lowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
Amen RA
 
kwa kweli lowasa ifike mahali aone aibu, apumzike ikulu kuna nini, anang'ang'ana tuuuuuu, umri umemuacha
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi tu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Uwe unafikiria kwanza kabla ujapost uzi
Kukufahamisha tu,raia yeyote anauhuru wa kufanya siasa popote ndan ya mipaka ya JMT.katiba inatamka hivyo
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi tu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Na wewe unahoji ukiwa kama nani ?
 
Wewe ulitaka nani azunguke? Muulize mwezi wa kwanza alifanya nini pale mjini mkuu wa mlimani atakuumbua vizuri
 
Kwahiyo kukataza kufanya mikutano ya kisiasa ni ndani ya katiba au nje ya katiba?
Wanasheria nguli mko wapi nani kazi yenu ya kulinda katiba kuliko Idara yoyote ya serikali...Alafu mko kimya mnasubiri huruma kutoka kwa wanasiasa..
 
Back
Top Bottom