Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Lowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
 
Back
Top Bottom