Nimesoma post zote za kabla yako, wote waliochangia wamepatwa na ugonjwa wa Mihemko hakuna aliyemjibu mleta Mada.Mleta uzi kauliza hajahoji. Kifupi anafanya siasa Kama mean as is as na sheria haimzuii
Mleta mada yeye kauliza maswali nilitarajia kama kuna mwenye ueledi amjibu.