Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,218
- 26,288
Kwa akili za wapiga kura wengi waliodanganyika waliju wakwanza atakuwa lowassa,kitu ambacho hawajui ni kuwa serikali ikifanya hivyo watakuwa wamemsafisha na hivyo wimbo wao wa mahakama ya mafisadi utakosa waitikiaji,wanachofanya ni kuendelea kuimba fisadi huku mahakama milango iko wazi!Hivi kufunguliwa kwa mahakama ya mafisadi tulitegemea nani wa kwanza kupelekwa huko? Sijui kwanini watu wa sisiemu na viongozi wao wamekua wakipiga kelele kila kukicha kua ENL ni fisadi. Kwanini hawampeleki kwenye hiyo mahakama tujue mbivi na mbichi ni zipi? Tumechoka na kelele zao