Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Lowasa ni "Pangu pa kavu Tia mchuzi" wa siasa za tanzania. Si mtu unaeweza kujivunia katika medani za siasa popote pale ulimwenguni. Amejaa Tamaa, umimi, choyo na chuki. Si wakutilia mfano katika jamii kama kiongozi wa kuigwa. Kwa wale wasio taka kuelewa ukweli huu ni wa kuhurumiwa na kuendelea kupewa Elimu. Fedha zake anazitumia kununua watu kupata uongozi. Hatufai hatufai hatufai.
Acha kuongea vitu vya kinadharia.Kama una ushahidi anachofanya ni uvunjifu wa sheria za nchi nenda mahakamani.Nadhani wewe ndo una chuki nae hadi imepitiliza.Sijui wewe ni binadamu wa aina gani mwenye chuki kiasi hiki. Get a life
 
MTANZANIA

Katiba inaruhusu Mtanzania yeyote kwenda sehemu yeyote na kukutana na yeyote
Mkuu naweza pata procedure za kujiunga kwenye hicho chama?

Nimependa hiyo avatar yako! [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Anazunguka nchi nzima kufanya Siasa yeye kama nani kwenye Nchi yetu? Sheria za nchi yetu zinasemaje? Je mtu yoyote yule anaweza kuzunguka TZ yetu nzima na kufanya Mikutano ya Kisiasa?
Shaka alizunguka kagera kama nani
 
Lowassa alikuwa mgombea uraisi na anabakia hivyo npaka Chadema ibadili nia. Mbona mnamwogopa sana.
 
Anafanya siasa kama mkogwe wa kupiga madili ya Kifisadi!

Huko ni kuzunga tu anatembelea miradi yake aliyo ipata kwa kuwaibia wananchi walala hoi!
bado ndo mtu pekee tumpendaye na kumuamini! we unaonaje? raha enheeeee
 
Back
Top Bottom