Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

Lowasa siyo fisadi kuliko wengine walioko ccm. Nenda ukawaulize wakina chenge wa vijisenti wanaopewa uwenyeviti kwenye Bunge.
Utuambie speaker aliyemnyuka mwenzake fimbo leo kawa speaker.
Hii ni nchi isiyo na maadili wala viwango. Kwa hiyo tuache kuandama tu opposition na wa kaskazini. Tukawaacha wengine wakiendelea kuiba.
Kuwe na haki.
Sumaye, Lowasa, Mbowe, je ni wangapi wenye mashamba makubwa wengine huko ccm?
Jamani tuwe na haki.
Kila siku Lowasa Lowasa, Lowasa. Kweli ufisadi uliotukuka Tanzania ni Lowasa tu? Nchi nzima? Mpaka nchi imekuwa shamba la bibi.
Wanyama wameibiwa, Escrow mawaziri, mahakimu wamegawiwa fedha nyingi ambazo hatujui sababu yake, etc, etc.
So why Lowasa???
Serikali itaje mafisadi wote.
Kama mimi mfanyakazi wa serikali kwa miaka 50 nina nyumba mbovu ya vyumba 3. Kwa nini mwenzangu aliye serikalini ana nyumba 10, magari matano, na kadhalika na serikali haimwulizi???
Umewahi kuona nyumba zote msasani, kibada, kimara, mbezi zilizojengwa na wafanyakazi wa uma?

Leo tunalia Lowasa, Lowasa. Come on. Msitudanye.
 
Lowassa anafanya Siasa kama Mwanasiasa NGULI, Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA, Pia anatumia Haki yake ya kikatiba kufanya SIASA
 
Back
Top Bottom