Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,847
- 17,503
No! it's equivalentWanaalibu is equal to wanaharibu?
Ulitaka waweke nini kwa mfano?Yaani hii timu inatia jezi Kali ila wanaharibu kukaweka kandege peke yake yaani inakua ya kawaida sana Sasa najiuliza wanaugomvi na full nembo kwenye jezi au maana naona designer wao anafeli hapo
Nembo za timu hubadilika. May be wewe ndio unakariri maisha bado. Kuna vitu potentia tu ndio hubakia hivyo ila vya ziada huweza kubadilishwa. Fuatilia utaelewaYaani hii timu inatia jezi Kali ila wanaharibu kukaweka kandege peke yake yaani inakua ya kawaida sana Sasa najiuliza wanaugomvi na full nembo kwenye jezi au maana naona designer wao anafeli hapo
Kaka holoholo mbna hilo lipo wazi kama uchi WA kukuYANGA BINGWA.
pamoja mkuu! Ila jina hilo shaacha kulitumika mkuu.Kaka holoholo mbna hilo lipo wazi kama uchi WA kuku
Kwahyo umebadili jina had jinsia mkuu we kibokopamoja mkuu! Ila jina hilo shaacha kulitumika mkuu.
Jina Haliwezi kusadifu jinsia mkuu!Kwahyo umebadili jina had jinsia mkuu we kiboko
HeeYaani hii timu inatia jezi Kali ila wanaharibu kukaweka kandege peke yake yaani inakua ya kawaida sana Sasa najiuliza wanaugomvi na full nembo kwenye jezi au maana naona designer wao anafeli hapo
Stupid answer to the fuckin questionNo! it's equivalent
Sawa kiongozJina Haliwezi kusadifu jinsia mkuu!
Wewe ni upinde?pamoja mkuu! Ila jina hilo shaacha kulitumika mkuu.
HeshimaWewe ni upinde?
pamoja mkuu! Ila jina hilo shaacha kulitumika mkuu.