Maoni Ya Mwanachama wa Yanga kuhusu kupuyanga kwa Jezi Zao

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Jul 24, 2024
218
645
Naomba wanaojua mpira na wenye akili Timamu bila Ushabiki -Tudiscuss jambo hapa

mimi ni Fan wa YANGA kindaki ndaki toka mwaka 2000 lakini kwenye SWALA LA JEZI tunazengua saana! Na ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu kiasi gani!

YANGA tunapoteza Identity ya Jezi zetu kwa kimvuli cha UBUNIFU! Na kutoa Jezi zenye muonekano M baya

Kila Timu duniani ina jezi tatu kila msimu- HOME KIT, AWAY KIT na 3rd KIT.

Lakini ukiangalia timu kubwa zote duniani Regardless ya Ubunifu utakaofanyika lakini IDENTITY ya HOME KIT inabaki vile vile utofauti utakuwa mdogo saana!

2nd na 3rd kit wanaweza badilisha lakini HOME KIT inaheshimiwa saana maana hio ndio NEMBO YA CLUB!

Angalia Madrid utambulisho wa C. Ronaldo miaka zaidi ya 10 iliopita na juzi MBAPE- JEZI zinafanana kabisa utofauti labda ni wadhamini- angalia jezi za Arsenal home kit ya akina Henry na sasa hivi almost similar more than 20yrs ago, angalia BAYERN,atletico,Chelsea,Man u,Barca mifano ni mingi saana!

Wanaweza badilisha kola shingoni au mistari au material au backGround colors lakini IDENTITY INABAKI ILE ILE!
Unaweza ingia uwanjan na Home kit ya miaka 10 iliopita na bado ukafahamika wewe ni timu gani na kusiwe na utofauti mkubwa na jezi za msimu huo!

Njoo kwa Timu yangu #YANGA Sasa…
Kila msimu HOME KIT Inabadilika- yaani unaweza ingia uwanjani na jezi ya msimu miwili uliopita na usijulikane upo timu gani aisee! Utofauti wa home kit ni mkubwa saana aisee!

Simba tutasema jezi zao mbaya lakini wamejitahidi saana kumaintain status ya Identity yao kama Club kubwa duniani zinavyofanya!

hatuwezi sema Yanga tunawazidi ubunifu madrid,Arsenal, kaizer chiefs,orlando pirates,Tp mazembe,Al ahly,CASABLANCA,Barca,Man U,liverpool nk.

jezi ya pili na ya tatu fanya unavyotaka ila HOME KIT LAZIMA IHESHIMIWE!

ifike wakati YANGA kama wanaona home kit yetu sio nzuri-Designers watulize akili watoe kitu kimoja kikali TUISHI HUMO!

Najua inaongeza maokoto kila msimu kuwa na kitu kipya maana watu watanunua jezi kila msimu ila tuifanye hilo kwa 2nd na 3rd kit na jezi za CAF -

HOME KIT ambayo ndio identity yetu Ibaki moja- labda tuwe tunabadilisha wadhamin,kola shingoni,mikono nk.

Sasa mara msimu huu majengo,mara kitenge mara bendera- tunapotea sana wanetu!

JEZI KALI saana na mm naenda kuzinunua leo zote 3 nkifika dar! Ila HOME kit tuiheshimu aisee!

Yapi maoni yako, CHAMBUA
IMG-20240727-WA0039.jpg
 
Anachokisema ni kweli. Siku YANGA ikiwa inacheza nyumbani majukwaa hayajulikani Yana rangi gani. Tofauti na timu za ulaya unakuta rangi Moja ya jukwaa hadi Mgeni anaogopa
 
Japo nilichukulia kawaida ila imenifikirisha na kuona kweli upo sahihi,japokuwa jezi ni kali sana kwa zote tatu ila home kit kwakweli ukicheki rangi zinabadilika sana.
 
Maafisa Tamaduni FC

Huo mkato hapo juu ya jezi za Yanga zinanikumbusha wadada wakivaa kanga wakiwa wanaenda kuoga.
 
Naomba wanaojua mpira na wenye akili Timamu bila Ushabiki -Tudiscuss jambo hapa

mimi ni Fan wa YANGA kindaki ndaki toka mwaka 2000 lakini kwenye SWALA LA JEZI tunazengua saana! Na ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu kiasi gani!

YANGA tunapoteza Identity ya Jezi zetu kwa kimvuli cha UBUNIFU! Na kutoa Jezi zenye muonekano M baya

Kila Timu duniani ina jezi tatu kila msimu- HOME KIT, AWAY KIT na 3rd KIT.

Lakini ukiangalia timu kubwa zote duniani Regardless ya Ubunifu utakaofanyika lakini IDENTITY ya HOME KIT inabaki vile vile utofauti utakuwa mdogo saana!

2nd na 3rd kit wanaweza badilisha lakini HOME KIT inaheshimiwa saana maana hio ndio NEMBO YA CLUB!

Angalia Madrid utambulisho wa C. Ronaldo miaka zaidi ya 10 iliopita na juzi MBAPE- JEZI zinafanana kabisa utofauti labda ni wadhamini- angalia jezi za Arsenal home kit ya akina Henry na sasa hivi almost similar more than 20yrs ago, angalia BAYERN,atletico,Chelsea,Man u,Barca mifano ni mingi saana!

Wanaweza badilisha kola shingoni au mistari au material au backGround colors lakini IDENTITY INABAKI ILE ILE!
Unaweza ingia uwanjan na Home kit ya miaka 10 iliopita na bado ukafahamika wewe ni timu gani na kusiwe na utofauti mkubwa na jezi za msimu huo!

Njoo kwa Timu yangu #YANGA Sasa…
Kila msimu HOME KIT Inabadilika- yaani unaweza ingia uwanjani na jezi ya msimu miwili uliopita na usijulikane upo timu gani aisee! Utofauti wa home kit ni mkubwa saana aisee!

Simba tutasema jezi zao mbaya lakini wamejitahidi saana kumaintain status ya Identity yao kama Club kubwa duniani zinavyofanya!

hatuwezi sema Yanga tunawazidi ubunifu madrid,Arsenal, kaizer chiefs,orlando pirates,Tp mazembe,Al ahly,CASABLANCA,Barca,Man U,liverpool nk.

jezi ya pili na ya tatu fanya unavyotaka ila HOME KIT LAZIMA IHESHIMIWE!

ifike wakati YANGA kama wanaona home kit yetu sio nzuri-Designers watulize akili watoe kitu kimoja kikali TUISHI HUMO!

Najua inaongeza maokoto kila msimu kuwa na kitu kipya maana watu watanunua jezi kila msimu ila tuifanye hilo kwa 2nd na 3rd kit na jezi za CAF -

HOME KIT ambayo ndio identity yetu Ibaki moja- labda tuwe tunabadilisha wadhamin,kola shingoni,mikono nk.

Sasa mara msimu huu majengo,mara kitenge mara bendera- tunapotea sana wanetu!

JEZI KALI saana na mm naenda kuzinunua leo zote 3 nkifika dar! Ila HOME kit tuiheshimu aisee!

Yapi maoni yako, CHAMBUAView attachment 3054950
FB_IMG_1722161656035.jpg

Kama Mudy kakubali mziki, wewe upinge ni nani?
 
SANDA FC katika moja mbili. Karibu ushuhudie boli leo..!!
 
Tutawakanda
Hivi hujui jinsi Chama anavyowatamani? Hujui Dume ataendelea kuwachuma kama kama embe kwenye mwembe wake wa uani? Lared kajiumiza kukimbia 8 siku ya mechi. Maana najua hujasahau huwa tunawafunga kutoka na tarehe ya mechi. Aziz Ki bado yupo, na lazima awaweke. baleke ana usongo na nyie.

HAMCHOMOKI, JIANDAENI KUFUKUZA KOCHA..!!
 
Chama huyu huyu mwenye mguu mfupi na mzee ambae hana mwendo anajikongoja?

Simba tuna vijana wenye vipaji wana mwendo, hao wazee wenu waje vizuri tutawakimbiza mpaka wameze ulimi
 
Back
Top Bottom