Hivi Lissu ana dini kweli?

Hivi Magufuli ana dini kweli? Hebu aeleze kuhusu jaribio la kumuua Lissu kwa risasi! Mwenye dini aweza kufanya hivyo? Kuwepo au kutokuwepo Covid19 Tz hakuna uhusiano wowote na Magufuli.
Nani aliyekuambia kuwa wenye dini huwa hawaui ? Ungeliukiza sababu ya mwenye dini kuua labda ndiyo ungejibiwa vizuri.
 
Lissu haamini katika maombi kuwa yanafanya kazi biashara yake imeshaisha October 28 atabwagwa vibaya sana

Mnaomuombea acheni mnapoteza muda wenu bure haamini kwenye hayo maombi yenu mwambieni na huyo askofu wenu Mwamakula na huyo shehe Ponda
 
Dini ndio Nini? Hao waliotuletea hayo madubwana hawaamini, ujinga mtupu wazungu wanapata Raha hawazingatii hayo maandiko kazi tumebaki kuamini Mara Moto, peponi mateso kibao na Imani za kuletewai
 
Akili kichwani ! Mtu anaombea kitu hakionekani halafu alishindwa kuweka ulinzi maeneo ya wanayoishi wabunge , hata kuzuia shambulio na pia hata baada ya shambulio ameshindwa kuwatia nguvuni waliojaribu kufanya jaribio la mauaji yapata miaka mitatu sasa ! Ana Mungu huyo au umhuhimu wa dini uko wapi hapo ? Tafakari hayo
Duuuh...aisee nadhani ungejaribu kupanua wigo wako akili kidogo.

Serikali zote za dunia huwa ni kama mashine na raia wote huwa wako chini ya hiyo mashine na ukikosea step lazima ikusage.
Suala la Lissu kupigwa risasi halikuwa suala la Bahati mbaya hata kwa mtu asiye na uelewa mkubwa nadhani anaweza akaelewa hili (It was something that was planned) for the security of the nation.

Serikali kuua ama kumfunga mtu jela maisha iwapo ataonekana ana madhara kwa taifa ni kitu cha kawaida kabisa na wala hakuna dhambi hapo.

Kwa hiyo kusema eti magufuli alishindwa kulinda eneo la bunge hadi lissu akapigwa risasi ni ujinga.
Na hiki kitu hujaanza kukisikia hapa duniani mataifa mengi tu hiyo ndiyo huwa trick ya ku save people.
Alikuwepo Rais wa 35 wa Marekani

John F. Kennedy alipigwa risasi akiwa madarakani tena kwenye kampeni na Jeshi linamzunguka, Je ni kwamba jeshi la marekani lilikuwa linashindwa kumlinda Rais ? Jibu ni kwamba si kweli bali ishu ilipangwa kwa maslahi ya Taifa.

Alikuwepo pia Abraham Linkoln (Rais wa 16 marekani) na yeye alipigwa shaba akiwa madarakani, Je wadhani jeshi lilikuwa halina uwezo wa kumlinda ? No it was something that was planned to save the majority of people.

Ndiyo maana leo hii Marekani ina haha ipate upenyo kidogo tu wapate kumuua Kim Jong Un wa Korea kaskazini hata kwa kumtilia sumu ama njia yeyote watakayoona sahihi ila ni kwamba tu wamuue ili kusave dunia kutokana na utupaji hovyo wa makombora ya nuclear, lakini mpaka sasa hawajapata huo upenyo.

Kwa hiyo usishangae wanaharakati mbali mbali kuuwawa ama kufungwa maisha na serikali nyingi duniani, hii ni kwa sababu wamekuona wewe unaweza kuleta negative effect kwa wengi kama siyo kwa taifa zima na kuligharimu taifa kwa hiyo inabidi wakuangamize ili usiligharimu taifa.

Na Tundu Lissu asiposhinda urais basi Aishi kwa kujihami sana maana akiendelea na ujinga wake kupiga makelele sijui kudai kila haki as if yuko mbinguji hapa, mbona tutamzika mapema.
 
Kanisani huwa anaenda kufanya nini kama anaamini Mungu hawezi kusikiliza maombi yetu?
Kwani yeye isingekuwa Mungu kumponya leo hii angekuwa hai?

Sisi Wakatoliki ( Lissu akiwemo) katika kila misa baada ya mahubiri na kurudia kukiri imani yetu hufuata maombi ambapo waamini humuomba Mungu mambo mbalimbali ikiwemo kutuponya na magonjwa na majanga mbalimbali nk. Sasa yeye inaonyesha kuna mambo hakubaliani nayo. Mimi nadhani pengine aliishaacha kwenda kanisani ila sababu ya uchaguzi imebidi aende kanisani kama geresha ili wakristo wasimstukie; baada ya uchaguzi ataacha kwenda. Ni kama vile huko nyuma alipokuwa anamtukana Nyerere lakini kwa ajili ya kugombea urais akaanza kumsifia Nyerere ili watanzania wampe kura.

Watanzania wakiingia mkenge wampe kura watajuta.
Kwa hiyo wakatoliki mkiumwa mnaomba tu baasi imetosha. Hamnywi dawa. Hamfati njia za kujikinga na maambukizi mbali mbali kama doctors wanavosema
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Huna cha maana ulichoandika
 
Mtu safi ndiyo hujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Mtu safi ndiyo hupita trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Mtu safi ndiyo hubariki Ndungai kupiga bilion 12 akiwa India peke yake? Mtu safi ndiyo huwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
Hapo zile bilioni 12 alizopopocha Ndungai, zingejea water reservoirs ngapi Kongwa na kusaidia watu wangapi kuwa na uhakika wa maji salama ya kunywa!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Mungu angetaka basi na ugonjwa usingetokea. Mambo ya Mungu miazito mno kuyaelewa.
 
Kwa hiyo wakatoliki mkiumwa mnaomba tu baasi imetosha. Hamnywi dawa. Hamfati njia za kujikinga na maambukizi mbali mbali kama doctors wanavosema

Tumaini letu ni kwa Bwana Mungu. Bwana Mungu asipoilinda nyumba, wailindao wakesha bure.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.

Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.

“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.

Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”

Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.

Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Utapata Sapoti ya wapuuzi wenzio pekee, sisi tuliokuwepo kwenye mkutano hatukusikia huo ujinga uliotandika hapa.
 
Kura zote ni kwa Magufuli ...Miaka 5 TENAAAAA

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.

Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.

“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.

Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”

Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.

Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Wewe unaamini Magufuli alimwomba Mungu aondoe corona nchini? Kama unaamini hilo basi unahitaji msaada wa haraka sana! Achana na walokole mwendokasi, waliolibeba hilo jambo kwa kiherehere bila hata kuelewa. Mungu msimhuzishe na mizaha mizaha yenu. Ni kwanini walizuia kupima watu kama Mungu alikuwa ameondoa korona wakati ule?
 
Mawazo mgando hayo!! Kipindi kile bashite alipoanzisha zoezi lake la kuwakamata mashoga!! Serikali mbona iliwajibu hao mabeberu, kuwa ule ulikuwa sio msimamo wa serikali, na zoezi likaishia pale pale?!!!
Kweli wakati ule mlishinda ile vita. Furahieni Sasa.
 
Tumaini letu ni kwa Bwana Mungu. Bwana Mungu asipoilinda nyumba, wailindao wakesha bure.
Aisee. Hata mimi nina dini. Nina Mungu namuomba. Mungu tunaomba lakini unaenda hospital. Doctor anakuambia jikinge kwa kufanya hivi vile. Unafanya.

Huwezi ukaumwa malaria ukaenda ponea kanisani. Lazima upige dawa ya malaria. Lazima utumie chandarua. Na lazima juu ya yote umuombe Mungu.

Kama haya nnayoyasema siyo binadamu unatakiwa ufanye hata wewe....basi ubongo wako utakua uko robo.
 
Back
Top Bottom