Hivi Lissu ana dini kweli?

Hivi Lissu ana dini kweli?

Acha uf...aisee. Hata mi nina dini. Nina Mungu namuomba. Mungu tunaomba lkn unaenda hospital. Doctor anakuambia jikinge kwa kufanya hivi vile. Unafanya.
Huwezi ukaumwa malaria ukaenda ponea kanisani. Lazima upige dawa ya malaria. Lazima utumie chandarua. Na lazima juu ya yote umuombe Mungu.
Kama haya nnayoyasema siyo binadamu unatakiwa ufanye hata wewe....basi ubongo wako utakua uko robo.

Ignored.
 
Jamani Lisu yupo sahihi. Nan kadhibitisha kua korona imeisha tz? Kilichoisha tz Ni upimaji wa korona tu. Leo chukua watu Kama Mia 2 tukapima Kama hatutapata mtu mwenye korona.
 
Mpumbavu husema moyoni mwake hakuna Mungu. Huyu Anti-Pas watanzania walishamdharau na kumpuuza. Anajihangaisha tu,anadhani hapa ndio sehemu ya kufanya fujo kisha atorokee Ubelgiji tarehe 18/12 atachemka.
 
Chama cha Mbowe wapuuzi Sana. Hiyo hoja ya Corona, imewalemea mno. Mwenyekiti wa Chadema, akiyatafakari maamuzi aliyotaka serikali ichukue anatapika tu na kujiona jinsi alivyokuwa kilaza wa kutupa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.

Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.

“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.

Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”

Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.

Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
Huyo anaeua watu anadini? Shetani tumeletewa na JK hiyo laana watabeba wote
 
Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Umeng'ang'ania sana kusu mapenzi ya jinsia moja,yaani kila siku mpaka useme hili neno?kwani utawazuia wanaofanya hayo mapenzi kama wanasikia utamu?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.

Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.

“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.

Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”

Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.

Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348
CCM ina dhambi kubwa sana ya kuzalisha wajinga wengi duniani na wewe ukiwa mmojawao
 
Wewe unaamini Magufuli alimwomba Mungu aondoe corona nchini? Kama unaamini hilo basi unahitaji msaada wa haraka sana! Achana na walokole mwendokasi, waliolibeba hilo jambo kwa kiherehere bila hata kuelewa. Mungu msimhuzishe na mizaha mizaha yenu. Ni kwanini walizuia kupima watu kama Mungu alikuwa ameondoa korona wakati ule?
Kwa sababu vipimo vinatoa majibu ya uongo na hutia watu hofu na hofu na kuishi kwa hofu ni ugonjwa mbaya.
 
Kwani kusema kwake kwamba "Mungu ana kazi nyingi hawezi kuhangaika na wajinga" kunaoneshaje kama hana akili, au kunaoneshaje kwamba hana dini?

Kusema kwake kwamba "Mungu ana kazi nyingi hawezi kuhangaika na wajinga" kunahusianaje na kupona kwake majeraha ya risasi?

Ushabiki ni kama ugonjwa, unapumbaza watu mpaka wanapoteza uwezo wa kutafakari mambo
 
Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Kwahiyo nae ni kama papa Benedict wa 16?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.

Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na ana muda wa kuhangaika na wajinga.

“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.

Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”

Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.

Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.View attachment 1611348

Hivi unaweza ukawa mwamini wa dini halafu ukapiga watu risasi ambao hawana hatia?
 
Sheikh Ponda na Askofu Mwamakula wamesema Lissu ni mchaMungu

"Huwezi kumkuta Lissu anaongelea hadithi za Wanawake wa Kiiraqwi mbele ya Watoto wa Shule" alisisitiza Sheikh Ponda
 
Sasa kama mtu anaweza kwenda kanisani na akirudi anaamuru watu wauliwe na wengine watekwe, huyo ndio anamjua Mungu.

Kuna watu humu bangi imeshawaharibu kabisa akili.
 
Wakristo nao wanashangaa mikutano ya ccm jpm anavyoitumia kuahidi kuoa wake zaidi.ndo ukristo huo? Rejea zanziba. Mungu katuponya covid nyie mnataka aabudiwe jpm?msimtafutie laana Mungu hagawani utukufu
 
Kwa hiyo wakatoliki mkiumwa mnaomba tu baasi imetosha. Hamnywi dawa. Hamfati njia za kujikinga na maambukizi mbali mbali kama doctors wanavosema
Sijasema hivyo.

Mafundisho yetu ni sala na kazi. Tukiumwa tunaenda hospitali huku tukiamini kuwa Mungu ndiye anayeponya wao madaktari wanatibu tu, pia ni Mungu aliyebariki na kuwezesha dawa na maarifa ya kitabibu kugunduliwa.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.

Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.

Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na hana muda wa kuhangaika na wajinga.

“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.

Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”

Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.

Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.

View attachment 1611348
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.

Baada ya jpm kumchapa risasi 32. Jpm ni shetani aliyeasi na kutumia jina la mungu kuficha ushetani wako. Hivi katika Hali ya kawaida unaweza kumshindilia mwenzako risasi zote zile na bado unaenda makanisani na kuwadanganya watu kuwa corona umepotea kwa maombi yako? Upuuzi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom