Upinzani ni vigumu kumpata Mtu mwenye Akili za Uongozi, Nafsi ya Uongozi na Roho ya Uongozi, walau Lissu ana Sifa mbili!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,991
Tundu Antipas Lissu amebarikiwa Nafsi ya Uongozi na Roho ya Uongozi lakini Akili za Uongozi hana anazo za darasani tu

Kwenye Akili za Uongozi hupatikana busara na Hekima za kusikiliza na kusema

Viongozi karibia Wote wa Upinzani hawana Sifa hizo na inakuwa vigumu Kwao kutoa Viongozi Bora

Mbowe ana roho ya Uongozi ndio sababu ana kibali cha kupendwa hata kama matunda ya Kazi zake hayaonekani kirahisi kwa Mwananchi wa kawaida

Mungu wa Mbinguni awabariki Sana
 
Tundu Antipas Lisu amebarikiwa Nafsi ya Uongozi na Roho ya Uongozi lakini Akili za Uongozi hana anazo za darasani tu

Wenye sifa ndiyo hao ambao hawajui kwa nini Tanzania ni masikini,hawajui umeme utapatikanaje?Hata maji tu hawajui yapatikanaje katikati ya mito,maziwa na bahari!
 
Tundu Antipas Lisu amebarikiwa Nafsi ya Uongozi na Roho ya Uongozi lakini Akili za Uongozi hana anazo za darasani tu

Kwenye Akili za Uongozi hupatikana busara na Hekima za kusikiliza na kusema

Viongozi karibia Wote wa Upinzani hawana Sifa hizo na inakuwa vigumu Kwao kutoa Viongozi Bora

Mbowe ana roho ya Uongozi ndio sababu ana kibali cha kupendwa hata kama matunda ya Kazi zake hayaonekani kirahisi kwa Mwananchi wa kawaida

Mungu wa Mbinguni awabariki Sana
Hii umeandika ukiwa wapi?
 
KUROPOKA ROPOKA NI DISQUALIFICATIONS!
 
Back
Top Bottom