She got From sexual harassment....Then she got it from her mother or dad... Sorry
She got From sexual harassment....
Also da13yrs girl during Makonda's day (drugs announcement)at JICC she was infected thru sex

Nenda Hospitali Kitengo Cha Ushauri Nasaha Ndio Utajua Ukimwi Upo Au Hamna, USISAHAU KUPIMA NA MAJIBU SUBIRIUnaweza dhibitisha hilo.....!??
Nahisi hakuna UKIMWI tena..
Nina uhakika na ninachokisema..
Sijui kama ninyi mna mawazo tofauti.
Mola atulinde sisi na vizazi vyetu,She got From sexual harassment....
Also da13yrs girl during Makonda's day (drugs announcement)at JICC she was infected thru sex
Hivi kwa nini watu wameamua kuweka siasa kwenye maisha ya watu?Tatizo la upungufu wa kinga kwenye miili yetu lipo na hututokea wengi na linatibika tu. Ila kinachofanyiwa siasa ni HIV/AIDS hapo ndo shida
Ndipo dunia ilipofika watu wengi hawana hata chembe ya utu. Hii issue ya magonjwa tunapugwa hela si mchezo. Imagine serikali inanunua ARV toka kwa hao waliotuambia tuna hiv/aids. Ni billions of money. Ss sio Tz pekee ni nchi kibaoHivi kwa nini watu wameamua kuweka siasa kwenye maisha ya watu?
Hiyo yote wao wapige hela na wapate faida bila kujali kama watu wanaangamia au la.
Ukipingana nao vita yake ni zaidi ya nyuklia, utashambuliwa, ni sawa leo uanzishe vita ya vinywaji baridi kama coce au pepsi useme vina sumu, hiyo vita yake utatamani dunia ipasuke ikumeze.
Wabishue kua hakuna ukimwi kua upungufu wa nguvu za mwili umekuwepo miaka nenda rudi na hauambukizwi uone moto wake.Ndipo dunia ilipofika watu wengi hawana hata chembe ya utu. Hii issue ya magonjwa tunapugwa hela si mchezo. Imagine serikali inanunua ARV toka kwa hao waliotuambia tuna hiv/aids. Ni billions of money. Ss sio Tz pekee ni nchi kibao