Hivi kweli UKIMWI bado upo!??

Hivi kweli UKIMWI bado upo!??

siku wagonjwa wa ukimwi wenyewe wanene usiamini kama hauopo upo sana
 
Upo Mkuu usichukulie poa.
Kuna watu huwa nawahudumia na kuwafanyia follow up sehemu fulani kuhusu mwendelezo wa afya za😵hoooo
 
Jipe moyo mkuu usilikatae tatizo.....kula vizuri pumzisha mwili wako .
 
Ukiwaangalia sunguratope na mbayuwayu wanavyojitupa unaweza kukubali UKIMWI haupo.
 
Waulize wanaohusika na kugawa vidonge vya ARV ndo utajua kama upo au haupo
 
Nahisi hakuna UKIMWI tena..

Nina uhakika na ninachokisema..

Sijui kama ninyi mna mawazo tofauti.
Ushahidi
Upo mwingi tuu...
1....ARV zanunuliwa sana tu
2....nenda hospitals kubwa wodi za ukimwi zipo
3....mengine Jiongeze
 
Nahisi hakuna UKIMWI tena..

Nina uhakika na ninachokisema..

Sijui kama ninyi mna mawazo tofauti.

Umebadilishana kwa muda tu na UTEKAJI wa Ununio Mahaba beach na UJANGILI wa Kibiti.
 
Ushahidi
Upo mwingi tuu...
1....ARV zanunuliwa sana tu
2....nenda hospitals kubwa wodi za ukimwi zipo
3....mengine Jiongeze
Una ndugu au rafiki yako ambaye recently amekushuhudia ana ngoma na yupo kwenye dozi!?
 
Back
Top Bottom