Hahaha karne ya 21 hii, baby. Kwenye hicho chama mtakuwa Wewe na nani? Zinjanthropus ? Cave men?
By Rutashubanyuma
HoneyBee..tunahitaji chamacha wanaumme kutetea mfumo dume..........vingineyo hii kabali ya hawa wadada hatujikwamui hata chembe
nakumbuka zamani ukikaza demu lazim a uwe juu....hii leo mashori nao wanakaa juu yako eti.....wanaume mmewaruhusu wenyewe......
Na kwenye kutoa pesa na kuwatunza wake zenu MUWE MSTARI WA MBELE HIVIHIVI sio masuala ya kiuchumi mnajivua gamba na kutaka michezo kisasa ya cost sharing!
Mwanume hana lolote kimbelembele ndo yake haiba
Vitabu vitukufu kaandika yeye, basi hakusita ukubwa kuubeba
Kumdidimiza mwenzie ili hali sote binadam ndo wake ujuba
Ukimchuna utapunguza machungu si haba
Wanaume walikuwa zamani siku hizi migumegume
Mleta mada nyimbo zimekuisha huna sera
Wanaume wa siku hizi migumegume isiyo na sera
Ndoa zimeshinda wazikimbia kutwa kukwea mipera
Wassio oa wagoma gomo kuachana na ukapera
Wanaume walikuwa zamani siku hizi migumegume
Kuzaliwa mwanamke tayari ni mtaji tosha
Waishi kwa raha wala huna haja ya kujichosha
Ukiolewa ukiona shida shida wasema babu yatosha
Warudi kwenu hukawii kumpta utayemtosha
Wanaume walikuwa zamani siku hizi migumegume
unajua mambo mengine ni mfumo wa maisha na sababu za kibaologia unasababisha mambo yawe kama yanavyokuwa mbona hawadai vitani waende front line au utakuta usiku mwanamke akienda dukani atajisia amani hata akisindikzwa hata na mtoto wa kiume wamiaka 5
Rutashubanyuma enzi za mfumo dume zilishapita,
kwani haujajua kuwa wanawake siku hizi tuko juu.
Mwanamalenga Rutashubanyuma nakubaliana na wewe kuwa Mwanamke hawezi kuwa sawa na Mwanamke japo sote tu viumbe tulioumbwa na Mungu lakini Mwenyezi Mungu alitupa uwezo na majukumu tofauti. Naona tabu si mfumo dume bali Wanaume wanaoabuse mfumo huo kwa kutokuwa responsible enough na kutambua uzito wa jukumu walilopewa
my dear ukiprovide, protect utapikiwa, utafuliwa mpk chupi! lakini ukianza cost sharing sahau kufanyiwa hayo, so kila mtu ajue role yake! nilisoma na mmama mkorofi sana mpk walimu walimjua lakini kwa mme wake alikuwa tofauti kabisa alikuwa mpole na mnyenyekevu anapika na kufua na kupasi, nilimuuliza mbona mpole kwa mmeo aliniambia toka aolewe kuanzia chakula, mavazi, nywele, mafuta ya gari, ada z watoto ni mmewe anaprovide! akisikia kuna shida kwa mkewe anasaidia akaniambia asipomuheshimu na kumpenda huyo mmewe hata Mungu atamlaani! ni msomi huyo mama ana masters na mme anamtafutia PhD! aliniambia hakuna mwanamke ujue jinsi ya kumtuliza tu! ni mkikuyu tena wa nyeri wajulikanao kwa ukorofi!