Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

38667.jpg
 
Mkuu bila upendo, ww usinge tokea.
Hata kama ungetokea usinge survive.

Na ukishapenda tuu, unakuwa ume risk pain.

Ww huoni watu hawali timu zao zikifungwa?

Mimi nalia tena sana tuu. Kama utaniita weak I don't give a fvck. Tumeumbiwa upendo na tunaishi kwa sababu ya upendo
 
Mkuu bila upendo, ww usonge tokea.
Hata kama ungetokea usinge survive.

Na ukishapenda tuu, unakuwa ume risk pain.

Ww huoni watu hawali timu zao zikifungwa?

Mimi nalia tena sana tuu. Kama utaniita weak I don't give a fvck. Tumeumbiwa upendo na tunaishi kwa sababu ya upendo
Sawa Mkuu, huo ni uchaguzi wako, naheshimu
 
Back
Top Bottom