Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake timamu, anayefahamu maana halisi ya maendeleo, tangu tulipopata uhuru, tulikuwa na rasilimali gani, tungepaswa kuwa wapi, na kulinganisha na hapa tulipo sasa, halafu ukaelezwa sababu ya sisi Tanzania kuwa hapa tulipo, ni CCM, then hivi kuna Mtanzania kweli, mwenye akili zake timamu, bado ataichagua CCM?!.

Nawatakia uchaguzi mwema hapo kesho.

Paskali
 


Watakayoichagua wakapimwe akili
 
Watu wanapiga sana kelele kumhusu Magufuli!. He is our choice, tulimchagua wenyewe, lazima sasa tumvumilie anapolinyoosha taifa hili!.

Paskali
 
Hivi kuna mtanzania mwenyee akili zake ambazo sio za viroba aache kuchagua ccm...... jibu hayupo...... ila wa viroba wapo.... na viroba vinapgwa marufuku sooon sijui itakuwajeeeee
 
Hivi kuna mtanzania mwenyee akili zake ambazo sio za viroba aache kuchagua ccm...... jibu hayupo...... ila wa viroba wapo.... na viroba vinapgwa marufuku sooon sijui itakuwajeeeee
Viroba vina shida gani mkuu huoni kuwa vinatumika kuifadhia nafaka kwaajili ya chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…