Ugomvi mkubwa wa USA na China ni teknolojia kubwa CHIPs

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Mwaka 2012 Bwana Zongchang Yu(Product engineering manager) aliacha kazi akitumika kama injinia wa kampuni ya ASML.

ASML gives the world's leading chipmakers the power to mass produce patterns on silicon, helping to make computer chips smaller, faster and greener.

Kampuni hii ndio inatengeneza chips za semiconductor kwa teknolojia kubwa duniani kote na linapatikana USA.

Baada ya kuacha kazi ASML Bwana Zongchang Yu akaanzisha kampuni zake zikiwa mbili zikiwa USA na CHINA.

Baada ya kuondoka kwake wafanyakazi wawili nao kwenye kampuni ya ASML kama wanasheria walimfata kujiunga naye na kuwa watatu.

Kitendo cha kuondoka kwao wakiambatana na injia wao ndio kiponza hapa baada ya kuondoka na nyaraka muhimu za kampuni ya ASML.

NA NUKUU KAMA MAHAKAMA YA USA ILIVOTOA:

COUNT 3
On or about 5,2014 in the county of Santa Clara,State of California UNAUTHORIZED COPYING OF TRADE SECRETS, in violation of PENETRATION 499c(b)(3), a felony, was committed by ZONGCHANG YU who, with the withhold the control of trade secret from its owner, namely, ASML the trade secret to his or her use and to the use of another.

Bwana zongchang yu alipeleka nyaraka hizo za siri serikali ya china na ndiko kampuni yake kama nilivosema alipofungua china na USA baada ya kuacha kazi.

STORY NDIPO INAANZIA HAPA SEHEMU NDOGO YA CHINA IMESHAIBA TEKNOLOJIA NYINGI KWA USA.

HISTORIA YA CHINA NA USA:
China taifa ambalo historia fupi tunajua ndio lenye wafanyakazi bei rahisi kimalipo.
Ukweli hakuna biashara isiyokuwa na kusaidiana(Market share).

Semiconductor chip ya kwanza ilianza mwaka 1950s na mwanzilishi akiwa injinia mwenyewe USA.

Semiconductor chip imeundwa na silicon pamoja na transistor.Na ndio chip yenye nguvu ukilinganisha na vifaa vyengine vya semiconductor .

Mwaka 1960 mgunduzi wa intel bwana Gordon Moore aliwezesha kuboresha zaidi mapinduzi ya chip hizi ndio leo wengi tunatumia kupitia vifaa mbali mbali.

Ikumbukwe teknolojia hii ya chips kuzidi kukuwa kipindi cha miaka 60s ikufikiriwa kwa ajili ya matumizi ya wananchi kama ilivo sasa bari kwa serikali ya marekani na idara za ulinzi kwenye matumizi.
Kama NASA na kwenye makombora ya masafa marefu ya nyuklia.

Tukumbuke gunduzi hizi zote bado zipo USA.
Yeye akiwa ameshikilia vitu tatu kwenye teknolojia kikazi:
1*Design
Tuna fahamu hapa kama kufanya tafiti na kuandaa
2*Manufacturing
Kuzalisha vifaa vyenyewe ambavyo ni chip.
3*Assembly
Kuviunganisha chip ili kupata bidhaa.

Hayo mambo matatu ndio alikuwa anafanya nchini mwake mpaka kukamilika mfano kompyuta.ikaonekana itumika garama nyingi na vifaa kuuzwa bei kufanya wateja kushindwa kumudu bei.

Baada ya kuona hivo kampuni zilizojigawa ziliamua kutoka USA na kwenda kutafuta urahisi ambazo 2(manufacture) &3 (Assembly).

2&3 ZILIELEKEA KUFUNGUA VIWANDA JAPAN,TAIWAN,SOUTH KOREA NA HONG KONG.

Kupeleka huku ili kupata urahisi wa wafanyakazi kumudu uzalishaji.

●Japan waliwekeza 2&3
2(manufacture) &3 (Assembly).
●Taiwan waliwekeza 2
2(manufacture) .
●south korea waliwekeza
2(manufacture) &3 (Assembly).
●Hong Kong waliwekeza
2(manufacture) &3 (Assembly).

Hii yote uraisi wa fanyakazi pamoja serikali ya marekani ikiwa kama washilika wake kwenye vita baridi wakijulikana kama Allies.
NOTE:USA ilibakia na 1 yani Design wanatafiti na kubuni kisha wanapeleka kuzalisha huko.
Dhumuni lake ilikuwa ni kuziinua washirika wake kiuchumi na kuziona zina nguvu(Deepen ties).

*Deepen ties it becomes stronger and more intense.

Wakati uwekezaji unafanywa nchi hizo tatu kumbuka vuguvugu la vita ya baridi likiendelea kuziziba nguvu china na urusi wakija nyuma na teknolojia ya chip.
Lengo la USA ni kuzimaliza kinguvu kwenye ushindani wa chip zikiwa nyuma yake.

Mwaka 1970s na 80s
kampuni ya Toshiba iliyopo japan na Samsung iliyopo South Korea kuimalika nazo zikaingia kudesign wenyewe bila kutegemea USA ndio abuni.

Kwa hiyo 1,2 na 3 wamejitosheleza na kutopokea tena chip zinazotoka USA.

Mwaka 1990s
Kampuni iliyopo Taiwan kwa jina TSMC nayo ikajikuta inatengeneza chip kwa uwezo mkubwa kupindukia na kufanya kampuni zilizopo USA kuacha kutengeneza Chip kama ilivo awali.South korea na Japan nao wakaanza kutengeneza chip.

Hii ilipelekea uundaji wa chip ukawa tena sio kwa USA ilivozamani.kutegemewa na mengine kama kuanzia Materials,Software na Equipment.

Hapa nchi kama south korea na japan swala la material na equipment wakawa wanajitegemea.

USA ikabakisha 1*Design na kuzalisha Equipment pamoja Software. Na kupeleka uzalishaji nchi ya Nethelend kuzal8sha Equipmnet.

TURUDI NYUMA KIDOGO
Wakati haya yote yana wekezwa kulikuwa na vita baridi zilizokuwa na mapishano ya ujamaa na ubepari.

Kumbuka china nchi zilizomzunguka ndizo zilizowekezwa na USA.

Mwaka 1990s vita baridi kuisha na utawala Mao zedong kushindwa falsafa ya ujamaa.
China iliingia urafiki na USA.
Ili lilipelekea washirika kama south korea na japan kupeleka viwanda vyake 3*Assembly china.

TUJE KUIBUKA KWA CHINA.
Wakati vimeingia viwanda vya 3* china ilijikita sana kwenye idara za tafiti za chip na kuwekeza pesa nyingi kuanzia mwaka 2004.
China iliwekeza kwenye idara zake kama CCID,CSIA,PWC na ANZ.
Ndio idara kubwa za tafiti uku wakisoma mlomlongo mzima ukianzia kwa mkuu wao USA 1*Design anavopeleka south korea na japan huku yeye akiwa kama 3* assembly akitumiwa na nchi nilizozitaja kupeleka kwao.

BAADA KUWEKEZA PESA KUBWA NAYO CHINA IKAWEZA KUINGIA KWENYE MIFUMO YA:
1*Design
2*Manufacturing
3*Assembly ambayo ndio ya kwanza alipita hapo.

ITAENDELEA..

images%20(10).jpg
Screenshot_20230212-131318_Chrome.jpg
images%20(11).jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230212-131131_Chrome.jpg
    Screenshot_20230212-131131_Chrome.jpg
    43.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230212-131318_Chrome.jpg
    Screenshot_20230212-131318_Chrome.jpg
    41.1 KB · Views: 8
Part 2
USA BAADA YA KUBAKISHA SEHEMU 1
Design huku zikiambatana unazalishaji wa Equipment pamoja na Software,
USA iliamua kubadilisha muelekeo wa kuendesha shuguli zake upande wa software kwenye chip na design na kupeleka nchi ya Netherlands.
NOTE; KUMBUKA NYUMA WAKATI ANAWEKEZA NCHI YA NETHERLAND ALIWEKEZA KWENYE EQUIPMENT. SIO VIWANDA 2&3.

kampuni kubwa iliyokuwa inatumika kufanya quipment ilikuwa ASML. Ambazo izo equipment zikiwa kwa ajili ya USA ili kupeleka kwenye nchi zilizopo na 2* manufacture ambazo ni south korea na Taiwan ili kuboresha zaidi chipi kiwango kikubwa.

TUKUMBUKE UWEKEZAJI HUU ULIPOWEKWA ULIKUWA NA MAMBO MENGI YA USA KAMA USALAMA NA WAPINZANI WAKE KULINDA WASHIRIKA WAKE TAIWAN NA SOUTH KOREA.

KWA KINGEREZA INAITWA CHOKE POINTS.

TURUDI MWANZANO:
Mwaka 2019 walitakiwa kumkamata bwana Zongchang Yu
kupitia idara za usalama polisi.
Kumbuka mwanzoni huyu jamaa alipoacha kazi alianzisha kampuni zake mbili zikiwa china na USA.
Na iliyopo USA ikijulikana na XTAL INC.

Bahati mbaya au nzuri hawa kuweza kumpata na ikaja kugundulika yupo china kwenye kampuni yake ya DONGFANG JINGYUAN ELECTRON.

Kampuni hii ilikuwa ishajikita imara kutengeneza mifumo iliyosawa na ile inayotengenezwa na kampuni ASML.

SHUTUMA ZILIANZAJE.
mifumo ya ijalishi ramani ya nyumba ikitumiwa na watu vibaya ni rahisi watu kujua sehemu gani anaanzia na kumalizia na ndio ilivoanza hapa.

USA baada ya kushtuka kumekucha china ilikuwa ina copy mifumo yote teknoljia na tafiti kuanzia washirika wake na yeye mwenyewe.

Kama mtakumbuka kauli ya Raisi aliyepita bwana Donald J Trump 2017-201.
Kuhusu wizi wa china kuiba mbinu na teknolojia za USA kimatumizi.

Kitendo kilichotokea kwa USA kilipelekea kufungia kampuni ya china yaliyopo nchini ikiwemo ZTE.

June 25 2020
Kukaongezeka kufungiwa kampuni zengine 20 ikiwemo HUAWEI.

USA INAFUNGA RASMI KAMPUNI ZAKE KUUZA TEKNOLOJIA YAKE NJE HUKU IKIBAKISHA TAIWAN .
1*DESIGN ikiambatana kuzuia Equipment pamoja na software.


Matokeo:
China inaonyeshwa kushindwa kufatilia kucopy mifumo sasa kama ilivo mwanzoni.

Baada ya kufanya hivi USA inarudisha mfumo wake nchini 2*manufacture yani 1&2 zitakuwa zikitengenezwa kwake pamoja software na equipment.

Hii imefanya kuipa presha china kwa hisira ambayo ukirudi mwaka 1949 china na taiwan zilikuwa pamoja.

Ikumbukwe Taiwan baada ya kujitenga ndio mshirika wa USA na aliyebeba asilimia kubwa 2*manufacture katika chip supply chain.

TAIWAN NI CHOKE POINT YA USA .CHOKE POINT

Taiwan ndio mshirika mkubwa mzalishaji semiconductor 2*manufacture asilimia 63 na asilimia 92 mtengenezaji wa Advance chip.
USA inamtumia Taiwan.

Je china itakubari mtaiwani.

MWISHO
 
Nikijaribu kufungua inagoma hata k
wa pdf reader na zinginezo
Delete kama uli download, download upya, hakikisha umemaliza ku download 100%, halafu fungua upya.

Mimi nilijaribu ku download na kufungua imefungua vizuri tu bila tatizo, kwa hivyo labda huku download mpaka mwisho au kuna hitilafu imetokea katika ku download ime corrupt file.

Nimerudia tena kuhakiki sekunde chache zilizopita na nimekipata vizuri tu.
 
Ila ASML sio kampuni ya Marekani, bali Kampuni ya Netherlands, wao hutengeneza mashine za kutengeneza chips.
Watemgenezaji wakubwa ni kina
TSCM
Intel
Qualcomm
Braodcom
Apple
Samsung
Nvidia
Amd

Etc
 
Kuna tetesi ndani ya Malaysia airlines flight 370 ndege iliyopotea mwaka 2014, inadaiwa ndani ya hiyo ndege kulikuwa na wagunduzi wa 4 raia wa China ambao walikuwa wana hisa kwenye Kampuni ya Semiconductor inayohusika n microprocessors, sensorer, na teknolojia nyingine.
 
US anajidanganya tuu, atamchelewesha mchina kwenye hii tech lakini at the end mchina will master everything na kuwa better zaidi ya US, kama kwenda mwezini au space station walimbania sana mchina lakini sasa kiko wapi, ana hypersonic tech ambayo kwa mnyamwezi ni ndoto bado, ameweka vitu vyake dark side of the moon ambako mnyamwezi ameshindwa kabisa, ukiangalia vizuri hata makampuni makubwa ya US, Scientist na researchers wao wana asili ya China/Asia, nenda Ivy league zote Phd students wa vitu vizito kama Quantum, AI, Engineering, medicine etc ni wachina watupu, hawa watu wana akili na wako serious sana hawana mchezo
 
Back
Top Bottom