STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
Wana JF mimi nina maoni yafuatayo.
Nakubaliana na CHADEMA kutoungana chama chochote kwa sasa kutokana na ukweli kwamba:
1. Muungano wa CUF na chadema hauwezekani kwa sababu CUF wana muungano na CCM maanake hiyo isingeitwa kambi ya upinzani. Kama tulivyoona kwenye kampeni CUF walikuwa wanawaandama wagombea wengi wa CHADEMA, mfano UBUNGO, KARATU, KIGAMBONI, TARIME etc ile hali wanajua CHADEMA inanguvu kwenye hayo maeneo. Ukitaka CUF hawaitakii mema CHADEMA kumbuka kwenye mdahalo wa CUF swali general liliuzwa na M/Kiti wa cuf akaishia kumponda Slaa wa watu bure.
2. Vilevile Chadema hakiwezi kuungana na TLP kwa sababu mwenyekiti wa TLP alikuwa ampigia kampeni JK na alikuwa anfanya kazi ya kumponda Dr Slaa muda wote wa kampeni zake.
3. NCCR nao ni wale wale kwani mbatia anampango wa kumshitaki Mdee kwa sababu ya kumburuza kawe eti kwake kushinda kwa mdee ni kumchafua yeye.
4. Wakati ule wa kifo cha Wangwe TLP,NCCR,CUF waliungana kuimaliza chadema lakini ikashindikana kwani waTZ tunaiamini chadema.
5. La kushangaza zaidi ni pale Dr. Slaa katika bunge lililopita alipotaja mishahara ya wabunge na maslahi yao wakataka kumfukuza kwenye kambi ya upinza na baada ya wabunge wa chadema kusema tutatoka na kuwaambia wananchi wakaogopa.
HITIMISHO.
Katika mazingira hayo yote chadema isingeweza kuungana na hivyo vyama vingine hata kidogo.
MABADILIKO LAZIMA