Hivi kweli chadema iungane na tlp, nccr, cuf na vyama vingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli chadema iungane na tlp, nccr, cuf na vyama vingine?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STEIN, Nov 12, 2010.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wana JF mimi nina maoni yafuatayo.

  Nakubaliana na CHADEMA kutoungana chama chochote kwa sasa kutokana na ukweli kwamba:

  1. Muungano wa CUF na chadema hauwezekani kwa sababu CUF wana muungano na CCM maanake hiyo isingeitwa kambi ya upinzani. Kama tulivyoona kwenye kampeni CUF walikuwa wanawaandama wagombea wengi wa CHADEMA, mfano UBUNGO, KARATU, KIGAMBONI, TARIME etc ile hali wanajua CHADEMA inanguvu kwenye hayo maeneo. Ukitaka CUF hawaitakii mema CHADEMA kumbuka kwenye mdahalo wa CUF swali general liliuzwa na M/Kiti wa cuf akaishia kumponda Slaa wa watu bure.

  2. Vilevile Chadema hakiwezi kuungana na TLP kwa sababu mwenyekiti wa TLP alikuwa ampigia kampeni JK na alikuwa anfanya kazi ya kumponda Dr Slaa muda wote wa kampeni zake.

  3. NCCR nao ni wale wale kwani mbatia anampango wa kumshitaki Mdee kwa sababu ya kumburuza kawe eti kwake kushinda kwa mdee ni kumchafua yeye.

  4. Wakati ule wa kifo cha Wangwe TLP,NCCR,CUF waliungana kuimaliza chadema lakini ikashindikana kwani waTZ tunaiamini chadema.

  5. La kushangaza zaidi ni pale Dr. Slaa katika bunge lililopita alipotaja mishahara ya wabunge na maslahi yao wakataka kumfukuza kwenye kambi ya upinza na baada ya wabunge wa chadema kusema tutatoka na kuwaambia wananchi wakaogopa.

  HITIMISHO.
  Katika mazingira hayo yote chadema isingeweza kuungana na hivyo vyama vingine hata kidogo.

  MABADILIKO LAZIMA
   
 2. U

  Ulimali Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Haswa wewe ni mchambuzi mahiri umesema kweli tupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Good. Good.
   
 4. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Lakini mngesema kwanza, black and white sio kujiuma uma. Kumbukeni watz wanawasoma bado ili kujiridhisha kama kweli mnastahili dhamana ya kuongoza nchi hii.

  Watz hawawezi wote kuwa Chadema, CCM au CUF management ya diversity inahitajika kuliko kujikubali zaidi nyinyi na kujiona bora mnajiongezea maadui isipokuwa lazima.
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu songambele tunachotoa hapa ni mazingira ya kuungana na watu wa kuungana nao mimi naamini chadema itaendelea kufanya mambo mazuri kama ilivyokuwa toka mwaka 1995 hadi leo hasa kwa Dr. Slaa.

  Jambo zuri kwa mTZ wa kawaida ni kufichua ikweli wa mambo na kuelimisha watu. Na si mambo yanayofanywa na chadema ni mazuri kwa watu wote watanzania tumegawanywa katika makundi na sasa watu wanatupia koza za wa TZ kututawala na mambo yaende wanavyotaka wao. mfano waulize Mwakyembe, Selelii, Sita na wengine watakueleza ukweli.

  Sikweli mpaka chadema iungane na vyama vvingine ndo waTZ waikubali. mbona kura 2.2 miloni za urais waTZ walitoa kwa chadema bila muungano.
  kila kitu kinawezekana.
  Peeopppless pewer
   
 6. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  :clap2: HERI WEWE WASEMA :smile-big:

  Tatizo ni kuwa, wanalazimisha Demokrasia isiyokuwa Demokrasia itawale. Na nina mashaka sana ikiwa watu wa CHADEMA wengi wao ni kama hawa tulio nao jamvini basi siku CHADEMA wakitawala tutarudi kwenye mfumo wa CHAMA KIMOJA na KUDUMISHA FIKRA ZA ..???:tape:
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Issue hapa si kuunganisha vyama kwa nguvu ni tunaangalia ckama gani kina msimamo upi, embu niambie ni nchi gani vyama vinalazimisha viungane na vingine?

  Kama unachama unataka ujiunge na chadema is simple chukua kadi ya chadema unakuwa umejiunga siyo tunaunganisha vyama inafika mahali watu wankeme ufisadi na wizi wa mali za uma wewe unasema hakuna kitu kama hicho. Au watu tunasema Elimu ya bure inawezekana wewe unasema haiwezekani huo muungano au kichekesho.

  Embu kila chama kisimame chenyewe kitetee kilichotumwa na wananchi wake. CUF wana watu wake ifanye kazi jinsi watu wake wanavyotaka. Chadema ina watu wake ifanye kazi jinsi watu wake wanavyotaka utaona moja kwa moja nani anafanya kazi.

  Si kusubiri watu wazunguke nchi nzima then uje kusema unataka kuungana nao we umebaki kawe kufanya kampeni chafu.

  Peoples Power
   
 8. z

  zantel Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Endeleaa
   
 9. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nafikiri ndugu zantel umeridhika endela kusoma post zingine za wana JF

  peoples power
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Haswaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Stein umenena utafikiri ulikuwa kwenye akili yangu.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Soma kwanza topic kabla hujakurupuka kujibu hoja. Inaelekea mwalimu wako alipata kazi kubwa.
   
 12. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu Mungi tuzidi kuwaelimisha waTZ maana kuna watu kazi ya kuwachanganya il tu WaTZ waendelee kuishi maisha ya tabu ile hali wachache wakineemeka.

  Big up and peoples power.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Umesoma headings au na wewe ndiyo wale wale wa ndiyo mzee bila hata kujua nini kimesemwa? Mkubwa lakini kichwa kopo tupu!
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Humu jamvini wapo watu wanaelewa ukweli lakini kwa sababu ni vibaraka, wanatekeleza wajibu wa wakubwa. wametumwa.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Chadema kuungana na hao wapuuzi ni sawa na mtu mzima kunya hadharani na watu wanaona.
   
 16. E

  Edwin Mtei JF Gold Member

  #16
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mhe. Stein,

  Nakushukuru sana kwa kutambua kwamba CHADEMA ni consistent kwa kukataa kushirikiana na hivi vyama ktk kuunda upinzani bungeni. WaTz hawangewaelewa Chadema kama wangeomba kushirikiana na T.L.P. ya Augustino Mrema baada ya usanii alioufanya kumsifu J.K. na CCM pale Dodoma na baada ya mashambulizi aliyoyafanya dhidi ya Chadema ktk kampeni zake huko Vunjo za kuingia Bungeni.

  Kuhusu CUF, sio tu kwamba Lipumba ameonyesha kujikomba kwa J.K., lakini chama chake sasa ni mshiriki wa CCM huko Zanzibar, na haileweki ktk Bunge la Jamhuri ya Muungano kitakuwa na msimamo gani. Hivyo vyama vingine, nadhani uongozi wa Chadema utaendelea kuvipima kimkakati, na pale inapowezekana ushirikiano wao utatambuliwa na kuombwa.

  Ni jambo la faraja kwangu, kama Muasisi wa Chadema, kwamba juhudi hizi zitasaidia kusimika demokrasia nchini mwetu.
   
 17. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi Jerusale that is the fact na watanzania Halisi wanafahamu hivyo so tuzidi kusonga mbele kama kawaida.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  CHADEMA kuungana na CUF, TLP, au hata na NCCR ni kuwarudisha watanzania kwenye mfumo wa chama kimoja, kwa sababu ya vyama hivyo kuwa sehemu ya chama tawala.

  Ndiyo maana hata siku kikwete ametangazwa mshindi, Prof alimkabidhi Ilani yake, ambayo matokeo yake tumeyaona.

  CHADEMA inaweza kuwa chama makini na kuwa chama kikuu cha upinzani bila kuungana na chama chochote, kwanza hata ilani zao hazilandani.

  Vyama hivi vyote vilijitahidi kukichafua chadema kwa mbinu zote lakini bado CHADEMA imesimama imara, bila kutetereka.

  Kumbukeni NCCR ya wakati ule wa Mrema. Walipochanganywa na CCM chama kilisambaratika, Harold Jafu kaenda kivyake, na Mrema kivyake.

  Hii ndiyo CHADEMA, chama cha watanzania wazalendo, kimesheheni watu wa kila aina, wasomi, vijana na wazee. Hata mtoto mdogo ukimwuliza atakuambia ni CHADEMA ndiyo chama pekee inayoweza kuleta maendeleo ya kweli na kuboresha maisha ya wananchi wake.
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Mzee Edwin Mtei,

  Vipi kuhusu Zitto maana niliwahi kumsikia akimsifia Kikwete hata kwenye kampeni zake alijikita zaidi kwenye nafasi ya ubunge na kumsahau mgombea urais wa CHADEMA Dr W Slaa.
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  stein you area a great thinker mkuu
   
Loading...