Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

M.p.umbavu wewe na familia yako

Sasa matusi ya nini wakati ni kweli CCM ni Majambazi, wamekula pesa za wahanga wa Tetemeko. CCM ni majizi hata vyeti vya shule wamefoji.CCM ni wauaji tumeona jinsi Mwangosi na Alphonce walivuouawa.Unataka nini sasa mpaka itoe matusi??
 
CCM uongozi uliyopo ni mbovu sana hasa huyu Magufuli ana roho mbaya mpaka anakera

Lakini Chadema ni chama cha wanafiki kisichojua kinasimamia wapi.

Kwa kifupi TZ mpaka sasa hakuna chama cha upinzani ambacho kina afadhari na kina misingi imara itakayo tushawishi wananchi tuwapatie nchi.


Bila hivyo tutaendelea kuipigia kura CCM mpaka tunaingia kaburini.

Utakipigia CCM sababu wewe ni mwenzao.Usijidai hapo huna research yeyote uliyofanya.Kama ubaguzi CCM wanaongoza.Wizi na ujangili CCM ndiyo mahali pake.

Ukiwa kada huwezi kujificha.
 
Sijawahi kukipenda saccoss ya chadema
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Ulienda shule ila hukuelimika.. Katika uchaguzi ccm ilishinda asilimia ngapi? Chadema nayo? Kwahiyo wale waliopigia kura chadema si watu? Jiji la Dar linaongozwa na meya toka chama gani? Wananchi wa dar si watu? Labda sijaelewa swali lako vizuri.
 
Najitahidi sana kutafuta sababu za kuipenda Chadema lakini zinakosa. Naomba mnisaidie. Nifanye nini sasa ili niipende hii Chadema?
Uwezi ipenda wakati uko chama kingine. Labda jaribu kuwa mnafiki namba moja[emoji120]
 
Kwa
chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
Kwakweli ahamie chama cha kanda ya ziwa! Kila teuzi siku hizi kanda pendwa,Ccm oyeeee!
 
Akili zilizooza zinaweza kupenda chadema yenye makamanda active nchi nzima aah wapi! Endelea na ubashite wako maana huko ndiko saizi yako ukigusa upande mwingine utakosa b7
 
chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
We si mfuasi wa chama cha majambazi a. k. a c. c. m Isije ikawa nawe ni jambazi mjinga
 
Bashite yuko busy kazini siku hizi kujibu tuhuma za vyeti haya ndio majibu yenyewe!!
 
U
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Utafiti wako si sahihi. Katika Uchaguzi uliopita Dar es salaam, Iringa, Mbeya, Arusha, Mwanza kwa kiasi kikubwa ni mji ambayo ndiyo mikubwa Tanzania na iko chini ya Chadema. Sasa kama miji ambayo kuna watu wenye uelewa katika nchi wanaikubali CHADEMA sioni mantiki ya uzi wako huu uliouanzisha Zaidi ya propagandatu.
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Ni watu au sema ni wewe?, wewe nani kakupa mamlaka ya kuwasemea watu Hao?
 
UDINI, UKABILA NA UBINAFSI HUKO NDIO KWAO
Kama sisonje si mkabila amtumbue bashite
HAINA HAJA YA KUIPALILIA CCM KWA STYLE HII. Ushajiuliza kwa Twaweza wamekaa kimya?
Mkuu unapata nguvu tu humu mtandaoni, lkn huko mtaan ni shida. Ndiyo maana mzee polepole katoa pesa za kushinda humu mtandaoni lkn hali ni mbaya.
Mnatia kinyaa sana nyie, huwez kupalilia chama kwa sytle hii. Kadri mnavyozid kupoteana ndiyo watu wanaenda upinzani. 2020 mnashida sana lbd mfanye bao. Nyie si wazee wa puchu(wazee wa bao la mkono)
 
Ni wendawazimu wa Ki-Chadema kuhangaika cheti cha mtu mwingine wakati wewe huna hata cha mfano. Wewe ndiye Mbowe Ziro kweli.
Hayo majibu yanamfaa zaidi ummy mwalimu aliyesema hakuna atakae salimika!
Kama vipi mwambie anyamaze
 
Back
Top Bottom