Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,255
- 10,248
Bashite weka vyeti Mezani wacha kuwaya wayaKila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.