Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Kwa sababu ni wanafiki na walaghai. Leo wanakuambia fulani fisadi hasafishiki na kesho wanakuambia ni malaika tulikosea!! Pia vyeo hupeana kwa ukanda na ukabila na huruhusiwi kuutamani uenyekiti ni kosa kubwa utafukuzwa Chama na kuitwa msaliti!! Ndio maana wenye kujitambua hawakipendi kabisa hicho Chama!!
 
yani nilivoona kichwa cha hii habri nmejikuta nacheka kwa nguvu.unasemaaa!!!!!!mbona umeongea tofauti na uhalisia????ok sawa
 
Ulitakiwa uandike Kwanini watu wanaipenda Chadema? Teh teh
 
Chadema inaogopwa na miungu watu wa nchi hii kama sizonje na kundi lake lote la chama cha mafisi ukiwemo na wewe mwenyewe
 
CCM uongozi uliyopo ni mbovu sana hasa huyu Magufuli ana roho mbaya mpaka anakera

Lakini Chadema ni chama cha wanafiki kisichojua kinasimamia wapi.

Kwa kifupi TZ mpaka sasa hakuna chama cha upinzani ambacho kina afadhari na kina misingi imara itakayo tushawishi wananchi tuwapatie nchi.


Bila hivyo tutaendelea kuipigia kura CCM mpaka tunaingia kaburini.
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Watu gani unaokusudia wale misukule na vilaza wa Lumumba? Hata buku saba siku hizi hawapati wamekimbia wote.
 
chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
Ustaadh ubwabwa na mapirau toka lini akawa na Akili?!
 
Umekosea.Ungejiuliza hivi. "Hivi kwa nini mimi siipendi chadema" Ungeeleweka vema.
Hili tatizo kubwa Chadema mnalo.... Linaitwa u much know... Mnadhani mnajua kila kitu na watu wakipinga sera zenu kwa hoja ghafla mnaanza kuwaita ni CCM. Matokeo yake hamshindi kwasababu hamsikilizi ushauri.
 
Swali lako la kijuha kamuulize mnafiki mwenzio pole pole kwanini chama kinachochukiwa na Watanzania ndiyo kishinde uchaguzi kama uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki.



Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Wagonjwa wa akili wengi siku hizi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom