Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Kwa sababu hawajui wanachosimamia! Yaani Mbowe anachoamini ndicho kinachoaminiwa na wanachama wooote. Mbowe anachosema kinakubalika na wanachama woote! Mbowe akikwepa kodi wanachama woote wanaandamana. Sasa Watanzania sio wajinga kama CHADEMA wanavyofikiria! Inatambua kuwa kuna viongozi kadhaa wako pale kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya wananacji hivyo wamewashtukia!
 
Utakipigia CCM sababu wewe ni mwenzao.Usijidai hapo huna research yeyote uliyofanya.Kama ubaguzi CCM wanaongoza.Wizi na ujangili CCM ndiyo mahali pake.

Ukiwa kada huwezi kujificha.
Nimeipenda mwenyewe ,na unune upasukee
Wachaa waisome namba eee ,waisome namba CCM mbele kwa mbeleee
 
CCM uongozi uliyopo ni mbovu sana hasa huyu Magufuli ana roho mbaya mpaka anakera

Lakini Chadema ni chama cha wanafiki kisichojua kinasimamia wapi.

Kwa kifupi TZ mpaka sasa hakuna chama cha upinzani ambacho kina afadhari na kina misingi imara itakayo tushawishi wananchi tuwapatie nchi.


Bila hivyo tutaendelea kuipigia kura CCM mpaka tunaingia kaburini.
WEWE UMESHINDWA NINI KUOMBA UONGOZE KAMA UNAONA WENGINE AWAFAI WOTE BASI UNAFAA WEWE USIE MNAFIKI
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Kwa nn watu hawapendi ccm?
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Kamuulize mamayo kwann analiaga anapofanywa na babayo ndo utapata majibu
 
Back
Top Bottom