Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Sema wewe usiseme watu, haya nenda lumumba ukachukue buku saba yako, huna hata aibu
 
chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
Nyumbu wengi wapo lumumba, mada zote za kukurupuka mnadakia ikibuma mnalala mbere.
 
Kakwambia nani. Ccm wanaipenda wangapi muda huu. Labda wewe mchumia tumbo. Jamaa wanakulipa vzr ?
 
CHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
Ccm kukoje kaka ?. So imeuziwa jipu bei ya jumla ?hebu angalia mawaziri , ma Rc , ma Dc wakurugenzi na wateule wote wasukuma ni %ngapi. Hata bashite si msukuma ?. Waislam wangapi kateua jipu ?waluther ? Ukanda hasa ukabila kabariki Jipu.
 
chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
Kama ilivyo ccm. Km fedha ni mpwa . Elimu yake nayo utata. Masters Ud mulizeni ilikwishaje ?.,DC wa kisarawe unamjua sio mtoto wa Jipu ?
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Wewe ndiye huipendi chadema
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.

Mods kuacha nyuzi za kitoto kama hizi ni kututafutia ban tu.
 
CHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
sasa hv ndo ukanda, udin, na ukabila unaonekana zaid kuliko ilivowah kutokea tz. nadhani ni kwa sababu rais ni mbowe na chadema ndo kilichoshika dola. kuna watu wengine humu wanatumia akili za kuambiwa. za kwao wamefungia kabatini. changanya na za kwako wewe utajua mdini mkabila mkanda ni yupi. kalagha baho
 
Swali lako la kijuha kamuulize mnafiki mwenzio pole pole kwanini chama kinachochukiwa na Watanzania ndiyo kishinde uchaguzi kama uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki.

una hasira na ubunge wa EAULA. ulidhani atapewa shoga ako lipumbavu..umeliwa..hahaha
 
Back
Top Bottom