Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

CHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
Nilipita juzi Dodoma nikakutana na wajinga kama wewe nilichogundua ni kwamba bado ujinga, umasikini na maradhi vitakumbatiwa kwa nguvu zote na CCM
 
Wana wasi wasi dikteta uchwara anavyozidi kukosa mvuto ndani ya MACCM na nchini kwa ujumla na huyo mhuni jambazi Bashite kutopewa hata sekunde chache au hata para moja kumeanza kuwatia hofu kubwa. Kwa hiyo wamepewa shughuli nzito ya kuja kumpamba dikteta uchwara na mhuni Bashite humu.
Wapooooooo
 
Njooni na mbala watu wanataka SERA na siyo matukio na jinsi gani ktk kipindi hiki baada ya uchaguzi wapiga Kura wenu mnawafanyia nini,? Chukulia mfano Daraja au Madimbwi ya maji kama watawala wa Eneo husika mmefanya nini,? WAPIGA KURA Hawataki kuwasikia Serikali imekataza mikutano JIMBO HUSIKA LA MBUNGE,Mbadala wake ni TINDU LISSU Mnatukatisha IMANI ya UPINZANI TANZANIA.Hebu MJITAFAKARI
 
Nilipita juzi Dodoma nikakutana na wajinga kama wewe nilichogundua ni kwamba bado ujinga, umasikini na maradhi vitakumbatiwa kwa nguvu zote na CCM
Wapoooo
 
CHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
Jumlisha kukumbatia kila aina ya kapi bila kuangalia ni safi au ni chafu,hiki kitendo ndio kilichonifanya niichukie chadema nakuidharau mpaka nikaamua kuichana kadi yao.
 
Chukua bendera... loweka kwa muda wa masaa kadhaa... kunywa maji yake... hakika dozi itakuingia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Ni ww to na familia yako na sababu kubwa nyinyi huwa wapumbavu mazezeta huwa hatuwezi kufikiria ss unategemea nini nyie kazi yenu nikula tu hata kama chakula cha nguruwe ww hula sasa unawezaje kuipenda chadema ?ww ni zumbukuku.
 
Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.

Ni mataahira tu ndiyo hawaipendi Chadema.
 
Tatizo ukabila bhana NI hivo tu wala hamna kingine
 
Unapoteza nguvu bure. Hawa vijana wa mzee pole pole ni shida
Naona mzee pole pole kasajili kiungo mkabaji.
Mtoa uzi inaonesha iq yako ni ndogo na wenzako wa lumumba.

Mkuu wala usitumie nguvu sana, NAY WA MITEGO NA WAGOSI WA KAYA NI ALARM TU YATAKAYOTOKEA MBELE.MUDA UTAFIKA WA NYEUSI KUWA NYEUSI NA NYEUPE KUWA NYEUPE
 
Back
Top Bottom