Hivi kwanini wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali?

Hivi kwanini wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali?

Wengine 2kila ugali kama ni ucku 2naota ndoto mbaya
 
Habari watanganyika wenzangu?

Kuna utafiti nimeufanya na sample size yangu nimeichukulia maeneo ya mijini hasa Dar ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali.yani unaweza ukawa na msichana wote mnasikia njaa mkaenda nae kwenye mgahawa wewe ukaagiza nguna lakini yeye ataagiza vijitu vya kjiinga jinga kama vile sausage, chips etc sasa najiuliza kwanini warembo wengi hawapendi kugonga nguna?

Pia fanya na huu utafiti ....ukiwauliza asili yao watakwambia nimezaliwa na kukulia mjini yaani hakunaga ambae origin yake ni vijijini "rural areas".....kwann kuidanganya nafsi yako!!
 
very true. kipindi hicho anajifanya kuagizia hivyo visausage tayari keshashindilia ugali na nguru, unazugwa wewe tu.
 
Na madem wanao kula ugali ni watamu sana ndo siri. Hasa ugali wa kukaanga na samli. Ule na mtindi changanya na kidali mbuzi choma pilipili. Lazima ifinyie kwa ndani tu.tuone km hatarudia
 
Habari watanganyika wenzangu?

Kuna utafiti nimeufanya na sample size yangu nimeichukulia maeneo ya mijini hasa Dar ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali.yani unaweza ukawa na msichana wote mnasikia njaa mkaenda nae kwenye mgahawa wewe ukaagiza nguna lakini yeye ataagiza vijitu vya kjiinga jinga kama vile sausage, chips etc sasa najiuliza kwanini warembo wengi hawapendi kugonga nguna?
Wasichana warembo wakoje kwani?
 
Wasichana warembo wakoje kwani?
Weupe.au maji ya kunde Nguo,viatu! Mkoba tembea za kisasa. Wanaongea kwa mapozi,vigari vyao vyekundu.hawapikii moshi wa kuni, elimu nzuri,wanakaa km masaki.mbezi,
sinza nk wanajua siasa. Uchumi.afya ni makini.wanatoa challenges.wanatibiwa na kuzalia AAR.Tmj nk hawaendi Tmk. Amana isipokuwa palestina na Muhimbili.hindu mandalnk
 
Ugali wa mahindi ya kukobolewa hauna virutubisho.

Ni wanga mtupu. Unakupa energy bila virutubisho.

Bora kula ugali wa dona una virutubisho kama protein.
 
Inategemea na mboga ila wengi kucha zinawanyima raha wakati wa kula.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom