Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,544
- 35,405
ugali tembele na dagaa mchana hiyo pembeni una maji baridiHahahaha asantee au upate bamia la kukoroga jamani acha kabisa
ugali tembele na dagaa mchana hiyo pembeni una maji baridiHahahaha asantee au upate bamia la kukoroga jamani acha kabisa
ugali tembele na dagaa mchana hiyo pembeni una maji baridi
ha ha ha wasiokula ugali wanakosa utamu sanaWeee unantamanisha
Kumbe shule zimefungwa....
Nimeshaelewa....
Hahahahaaaa ushaanza sasa ule ujinga wako.
Mauno yanahusiana vipi na nguna?
Habari watanganyika wenzangu?
Kuna utafiti nimeufanya na sample size yangu nimeichukulia maeneo ya mijini hasa Dar ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali.yani unaweza ukawa na msichana wote mnasikia njaa mkaenda nae kwenye mgahawa wewe ukaagiza nguna lakini yeye ataagiza vijitu vya kjiinga jinga kama vile sausage, chips etc sasa najiuliza kwanini warembo wengi hawapendi kugonga nguna?

we mabaga mangano yanafanya gogo linakuwa gumu balaaaawanaogopa kukata magogo magumu.
we siyo mrembooooMie napenda ugali balaa... Tena uwe na nyama choma na kichuri uuuuwiii.... My favourite food.. Ina maana mie sio mrembo???
Hahahahahahahahaha.....na bado wanaacha kidogo eti wameshiba mimi kuna kipind nilitoka na ex gf amekula chipsi eti kabakisha nikamwambia usinitanie hebu songeza hiyo plate hapa unafikiria tunatumia pesa za msoga kidogo nimwambie na hiyo juice uliyoacha lete hapa....hahahahahahahaaha
Kupunguza mitumbo mikubwa == vitambi