Habari watanganyika wenzangu?
Kuna utafiti nimeufanya na sample size yangu nimeichukulia maeneo ya mijini hasa Dar ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali.yani unaweza ukawa na msichana wote mnasikia njaa mkaenda nae kwenye mgahawa wewe ukaagiza nguna lakini yeye ataagiza vijitu vya kjiinga jinga kama vile sausage, chips etc sasa najiuliza kwanini warembo wengi hawapendi kugonga nguna?
Hahahahaaa sio unayofikiri wewe,chizi wewe.USIKU ndo unakula dinner ya kisister duu
Umejuaje sasa kaka yangu?
Sio siri, 'nangunika' kwelikweli.
Lunch yangu most of the times ni ugali,mara chache wali na kila Ijumaa ni pilau/biriani.
Usiku ndio nakula dinner za kisista duu...
Hehehehee
Hahahaha asantee au upate bamia la kukoroga jamani acha kabisa
Kwan mtu mrembo anasifa gn? Maana hata mwanaume anaweza akawa mremboo!!!
Hapa soon tutaulizwa kwa nn tunavaa kyupi! Subiri uone
Nakubaliana na wewe. Wengine hatupendi tu ugali iwe nyumbani au nje. Na ndo maana tunakula mara 5 kwa mwaka.Hata majumbani hawataki kula, na haijalishi ni warembo ama laah
nawe ni miongoni mwao?Nakubaliana na wewe. Wengine hatupendi tu ugali iwe nyumbani au nje. Na ndo maana tunakula mara 5 kwa mwaka.
Teh teh hatariouskitu kinataka kuchambuliwaView attachment 309584