Hivi kwanini wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali?

Hivi kwanini wasichana wengi warembo hawapendi kula ugali?

Wasichana wote mliokiri kula ugali sio warembo, warembo njoeni mtoe majibu.
 
Mie napenda ugali balaa... Tena uwe na nyama choma na kichuri uuuuwiii.... My favourite food.. Ina maana mie sio mrembo???
haya ni ya kweli,au unatufurahisha tu hapa mkuu?
 
nguna ina watoa chunusi baadhi ya wadada ndo maana hawaipendi.
 
hali ilivyo sasa hivi wajiandae tu kula ugali hakuna namna kontena zetu kila kukicha zinakamatwa na bado tumepewa siku 7 now ni 4 dah
 
Umejuaje sasa kaka yangu?
Sio siri, 'nangunika' kwelikweli.
Lunch yangu most of the times ni ugali,mara chache wali na kila Ijumaa ni pilau/biriani.
Usiku ndio nakula dinner za kisista duu...
Hehehehee

USIKU ndo unakula dinner ya kisister duu
 
Acha tu ndugu yangu
kitu kinataka kuchambuliwa uploadfromtaptalk1449475626454.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom