Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 751
- Thread starter
-
- #21
Mkuu unahitaji ushahidi gani wakati hata wewe umewekewa limbwata.Mtoa mada ebu kuwa muwazi ili tujue namna ya kuchangia,achana na habari za kusikia,topic yako una weza thibitiaha kwa kutoa ushahidi wa lifestyle ya kwenu,Mf.Mama yako,dada zako,mashangazi,mashemeji zako nk,ili tuamini unachokisema maana kuleta mada mezani kwa maneno ya wana nzengo haitakuwa na maana
Ha ha ha ha !!!! Mkuu kumbe wewe ni nabii ,unajua mambo yajayo na yaliyopita ?Mkuu unahitaji ushahidi gani wakati hata wewe umewekewa limbwata.
Umeamua kuji quote mwenyewe [emoji23][emoji23]Mkuu nime kugusa nini au hizi ndio mambo zako
Topic closedwanawake si wasamehevu hutunza vinyongo nakutaka kulipa visasi ndo maana wanaupenda ushirikina, ndo maana unaambiwa ukirogwa na mwanamke utapata tabu sana kuliko kurogwa na me
mfano mzuri tu hata kwenye ndoa zetu, ukikosewa na ke utasamehe na kusahau bt wao wanatunza ikitokea umemkosea tena yanaunganishwa mpaka basi, kutunza makosa huleta huibua roho mbaya ya visasi
Nakazia mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]Wanawake kiasili wana roho mbaya! Ndio maana inakua rahisi kwao kutumia nguvu za giza kufanikisha mambo
Teh tehMkuu unahitaji ushahidi gani wakati hata wewe umewekewa limbwata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Adam aliumbwa wa kwanza, hajakutana na shetani, ila Eva ni wa pili ila ni wa kwanza kukutana na shetani ana kwa ana. Jibu unalo. Siri zote za ulimwengu wa roho anazo mwanamke
Tunatokaje huko? Si wanazidi kuua wanaume?Bila kusita nasema ivi Asilimia kubwa ya jamii ya kike ni wachawi ,washirikina.
Ila swala muhimu ni jinsi ya kuutoa huo uchawi walio nao tu hakuna namna . Mana wanatuumiza sana Hawa.
Kweli kabisa
Kabisa mkuu, wanawake wa kibongo ni wachawi sana. Ndugu zetu wanazidi kupewa limbwata wanasahau hata familia zetu. Utakuta yaani una mjomba yako anabadirika ghafura yaani.Una uhakika na ulichokiandika?