Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 698
Bravo naamini ushawahi Fanya research nnependa " how to write a resercah topic "Maelezo yako sio sahii!
Ungehoji ni kwanini wachawi wengi ni wanawake na sio wanawake wengi ni wachawi! Ingawaje unaweza kuona sentensi hizo mbili ni kama zipo sawa lakini kimsingi na kisarufi hazipo sawa hata kidogo. Labda pia huenda ungekuwa sawa kuhoji hivi ni kwanini wanawake wengi wanapenda mambo ya kishirikina hali inayowafanya wao wawe ndio kimbilio na makazi ya majini ukilinganisha na wanaume kwa sababu ukishakuwa na mambo ya kishirikina tu tayari unakuwa ni rafiki wa majini kwavile unakuwa huna tena imani thabiti.
Mtoto akizaliwa, ni wanawake ndio hukimbilia kuwafunga mimavi ya tembo kwamba eti ni dawa asiote! Kwenye mapenzi, nako watataka kwenda kwa waganga wa kienyeji! Wakianzisha hata biashara ya mama nitilie, mambo yakienda sivyo ndivyo mara mbili tatu tu, lazima ashauriwe na shoga ake akatafute "msaada" kwa waganga! Yote hayo ni ushirikina unaochafua nafsi zao na hivyo kuwa kimbilio la majini wanaopenda kuishi kwenye miili michafu kiroho.
Bravo naamini ushawahi Fanya research nimependa " How to write a resercah topic "
Wanawake kiasili wana roho mbaya! Ndio maana inakua rahisi kwao kutumia nguvu za giza kufanikisha mambo
Hili swali linahusu wanawake wote yaani wadada, wabibi na wamama.kwani mama yako pia ni mchawi?
Naye yupo humo humo huenda naye alimroga Baba yakekwani mama yako pia ni mchawi?
Hahahaaaaaa, mkuu mbona mnajishuku.Naye yupo humo humo huenda naye alimroga Baba yake
Mbona mnajishuku mkuu.Vipi dada zako na shangazi zako huko nao no vigagula?
Ibada njema huanzia nyumbani, na huwezi nenda kwa jirani kama hujatokea kwako, kama una ndugu wa kike lazima una habari nyingi ndiyo maana umezileta humuMbona mnajishuku mkuu.
Kawaida tuHahahaaaaaa, mkuu mbona mnajishuku.
Mkuu nime kugusa nini au hizi ndio mambo zakoMbona mnajishuku mkuu.