Hivi kwanini wanawake wanataka uanaume

Siku zote nitasimamia msimamo wa kuwa Mungu hakukosea kuumba Mwanamme na Mwanamke.
Haya yote sijui Gender equality baada ya Mwanadamu kuasi iliandikwa kwenye kitabu Cha Mwanzo kwenye laana aliyopewa mwanamke kuwa
To the woman he said, "I will surely multiply your pain in childbearing; in pain you shall bring forth children. Your desire shall be for your husband, and he shall rule over you."

Shetani ndio anatuongoza siku hizi
 
This is the only difference between the genders.
..... giving birth and tending to children in infancy vis a vis breastfeeding ....
.
pia nashangaa unavyodhani uanaume upo kwenye suruali/kaptula etc
 
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.
Hebu nakuomba ondoa uvivu soma Kumbukumbu la Torati 22: 5 . Basi usiendelee kuwa mbishi fuata maagizo ya Mungu!!

Haya hayanishangazi, upotovu wa dunia hii ulianzia kwa Hawa (Eva) pale bustanini. Katika kutaka kuwa sawa na Mungu binadamu akaadhibiwa, na mwanamke akapata adhabu mbaya na laana; kuzaa kwa uchungu na bwanaake atamtawala. Mwanzo 3:16

Sasa shetani kupitia kwa yule yule mwanamke analeta balaa lingine la mwanamke kuwa sawa na mwanaume ambaye Mungu alimuidhinisha kumtawala mwanamke. Kwa mara nyingine mwanamke anatumika kumpinga Mungu katika yale aliyoyaamua. Shetani aliandaa mkutano Beijing ambao leo umekuwa kinara wa kuvunja ndoa kwa kiburi kilichopandwa ndani ya vichwa vya wanawake.

Mungu ataendelea kuwa Mungu, na neno late litasimama mpaka mwisho. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke na laana itamfuata mwanamke yule ashindanaye na azimio la Mungu.
 
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
mmmh lakini hakuna sehemu yoyote ilipoandikwa kuwa ndo itakuwa hivyo milele kwamba wanawake lazima abebe ndoo/mizigo kichwani
Pia swala la mavazi kaptula na suruali t-shirt, kumbuka kuwa miaka ya zamani kabla ya kuja wakoloni babu zetu walikuwa wanavaa mavazi ya asili, walipokuja wakoloni wazee wetu wakabadilika wakavaa mavazi ya kizungu, miaka ikasonga yakaja mavazi mapya wakavaa (i hope au kwa kusimuliwa utakuwa unajua mavazi ya miaka ya themanini zilkuwa ni bwanga kwa wanaume, wanawake walikuwa wanavaa vimini mno), mpaka kuna wakati nyerere akapiga vita mavazi hayo sketi akalazimisha zivuke magoti,suruali wakawa wanataka kama akiingiza ukifungua mkanda ukaingiza chupa ya bia juu lazima ipite bila shida mpaka chini miguuni that means suruali ikibana haitapita,
kikaondoka hicho kizazi kikaja kizazi cha nguo ndefu wakaziita charanga
kikaondoka kimekuja kizazi cha vimini tena, vitop, vipedo, suruali za kubana so hayo ni mabadiliko ya msimu tu
 
Haya yooote uliyoyazungumza ni ya dunia, je Muumba wako anasemaje kuhusu mwanamke na mwanaume?
 
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
Acha ujinga na mjumlisho. Nani kakwambia kuwa wanawake wote wanapenda uanaume? Kwani uanaume ni kuvaa suruali? Mbona mashehe na mapadre wanavaa kanzu na hatuwezi kusema wanautaka uanauke? Isitoshe umefanya utafiti wapi lini na kwa kiasi gani hadi uje na bold conclusion kama hii? Go tell it to the birds. Unachotaka kusema ni uongo na matokeo ya mawazo mgando. Simple.
 
Biblia inakataza kuvaa kaptura na suruali? Inaamrisha wanawake kubeba ndoo kichwani , tuseme hata kama kwao kuna maji ya bomba? Je kama si mkristo, wanawake tufuate amri gani? Unataka wanawake wafanye kazi gani zaidi ya kuzaa na kubeba ndoo kichwani? Hupendi kuwa na mwenzako wa kupambana na ugumu wa maisha? Kazi za kiume ni nini??

Naona umekurupuka.

wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
 
Phhewwww where to start!!

Kila siku nenda rudi watu mnazidi kunukuu biblia kana kwamba kila mwanadamu duaniani (6 billion plus!) ni mkristo na lazima afuate maandiko ya biblia! Kumbukeni biblia iliandikwa thousands of years ago and has been translated over and over, so you cannot take everything in that book literally! OK sawa wanawake tunazaa kwa uchungu, kwahiyo ? What's is your point exactly?

Pili, majukumu ya mwanamme na mwanamke ni yapi hasa? Biblia inaruhusu matumizi ya computer? Au inabidi tuombe ruhusa kwa mwanamme?

Tatu, kuna tofauti kati ya haki sawa na majukumu sawa. Of course everybody wants equal rights! Jinsia yako isiwe sababu ya wewe kutokupewa haki za msingi kama elimu, kupiga kura, n.k. Haimaanishi tunataka kuwa wanaume. GET THAT THROUGH YOUR HEADS.

Hakuna anaekataa kwamba mwanamme ni kichwa cha nyumba.

Mwanaume yeyote ambae anaona ni tatizo kwa mwanamke kutaka haki za msingi ni insecure and WEAK. You are threatened by the fact that a woman is capable of doing her duties AND your duties, therefore rendering you almost useless if you are a Mwanaume Suruali. Kubalance kazi za nyumbani, za kazini, kuzaa, kulea watoto na kutunza mumeo si mchezo. Usidharau mwanamke, we might be "beneath" you but we are in no way weaker or less valuable than you.

Men, if you despise women so much why don't you just marry each other?? Geez!
You don't know what you want.

wanasahau kuwa kama ilitakiwa tuwe sawa basi Muumba wetu angetuumba wa jinsia moja tu,lakini tumeumbwa tofauti ili kila mmoja atekeleze majukumu yake bila kumbugudhi mwenzake,hatujawa kuwa sawa na wala hatakuwa sawa kamwe,that is nature and it will be that way,ila waache waendelee kupiga kelele wakichoka wataacha

Wanatafuta kakitu kanaitwa haki sawa kitu ambacho hakipo na wakumbuke walitoka ubavuni mwa mwanaume.Mwanaume ndo kichwa cha nyumba

Waache wala usiwabugudhi. Watakuja kujua in the near future kwamba MUUMBA hakufanya makosa kuumba jinsia mbili tofauti. The lesson will be hard, but yes, they will know the truth and it will set them free! Kwa sasa hakuna atakayekuelewa, kama wamelewalewa hivi

pia kuna lile andiko ktk kitabu cha mwanzo wakati Mungu anatoa laana kwa Adamu na Hawa,sipakumbuki vizuri ila baada ya Hawa kuambiwa utazaa kwa uchungu,mwenyezi Mungu aliendelea kwa kumuambia tamaa yake itakua kwa mumewe naye ATAMTAWALA,sio maneno yangu ila bible ndio inasema hivyo.

wadada hawawezi kuwa sawa na sisi bhana daah yaani hata iweje.mwanamke ni mwanamke tu hawezi kuchukua nafasi ya mwanaume hata kama wanataka haki sawa.

mfumo dume ndo mpango mzima bhana vp aisee?
 
wanasahau kuwa kama ilitakiwa tuwe sawa basi Muumba wetu angetuumba wa jinsia moja tu,lakini tumeumbwa tofauti ili kila mmoja atekeleze majukumu yake bila kumbugudhi mwenzake,hatujawa kuwa sawa na wala hatakuwa sawa kamwe,that is nature and it will be that way,ila waache waendelee kupiga kelele wakichoka wataacha

mna yenu nyie c bure, HIYO NATURE NDIO ILISEMA MTUKANDAMIZE, WE KAMA UNAJUA MWANAMKE UBAVU WAKO,me nilitegemea kusingekua na unyanyasaji kwa wanawake coz ni ubavu wenu huvyo wanaume wote mngekua mstari wa mbele kuwatetea wanawake,hiyo nature mnayoiona ya upande mmoja inatoka wapi,

tatizo lenu mnaogopa competition yetu, mlishajisahau, chezea wanawake wanaojitambua wewe, akiingia mahali wanaume wenyewe wanakaa pembeni
 
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!

mwanaume sio suruali wala mavazi, mwanaume ni .............................................................................
 
Acha ujinga na mjumlisho. Nani kakwambia kuwa wanawake wote wanapenda uanaume? Kwani uanaume ni kuvaa suruali? Mbona mashehe na mapadre wanavaa kanzu na hatuwezi kusema wanautaka uanauke? Isitoshe umefanya utafiti wapi lini na kwa kiasi gani hadi uje na bold conclusion kama hii? Go tell it to the birds. Unachotaka kusema ni uongo na matokeo ya mawazo mgando. Simple.

asante baba,kweli mzazi ni mzazi, hukukosea kuliona jua wa kwanza
 
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!

Mkuu kuhusu suala la kaptura na suruali kwakweli hata mimi naona kama wanakiuka maadili, yani sometimes unakuta mtu kavaa kikaptura hadi unaogopa hata kuongozana nae bana
 
Hawa ni wanawake?

image.jpg

wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    18 KB · Views: 35
Back
Top Bottom