Hivi kwanini wanawake wanataka uanaume

enfuka nkulu

Member
Dec 4, 2012
48
4
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
 
Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
40
Wanatafuta kakitu kanaitwa haki sawa kitu ambacho hakipo na wakumbuke walitoka ubavuni mwa mwanaume.Mwanaume ndo kichwa cha nyumba
 
kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,478
2,668
Waache wala usiwabugudhi. Watakuja kujua in the near future kwamba MUUMBA hakufanya makosa kuumba jinsia mbili tofauti. The lesson will be hard, but yes, they will know the truth and it will set them free! Kwa sasa hakuna atakayekuelewa, kama wamelewalewa hivi

wanasahau kuwa kama ilitakiwa tuwe sawa basi Muumba wetu angetuumba wa jinsia moja tu,lakini tumeumbwa tofauti ili kila mmoja atekeleze majukumu yake bila kumbugudhi mwenzake,hatujawa kuwa sawa na wala hatakuwa sawa kamwe,that is nature and it will be that way,ila waache waendelee kupiga kelele wakichoka wataacha
 
katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
52
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,298
1,552
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!

Nisihukumiwe kifungu ila wanaojua watatusaidia Biblia inasema itafika wakati wanawake watataka kuwa wanaume........................
 
ina maana hata wewe kwa uelewa wako unashindwa kutofautisha mavazi ya kiume naya kike???jaribu kushirikisha ubongo wako kikamilifu kabla ya kupost.
 
kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,478
2,668
Nisihukumiwe kifungu ila wanaojua watatusaidia Biblia inasema itafika wakati wanawake watataka kuwa wanaume........................

pia kuna lile andiko ktk kitabu cha mwanzo wakati Mungu anatoa laana kwa Adamu na Hawa,sipakumbuki vizuri ila baada ya Hawa kuambiwa utazaa kwa uchungu,mwenyezi Mungu aliendelea kwa kumuambia tamaa yake itakua kwa mumewe naye ATAMTAWALA,sio maneno yangu ila bible ndio inasema hivyo.
 
cabhatica

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
1,081
477
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.

Kwani mfumo dume ni kitu gani? Kweli idle mind is the devil's workshop! Wajanja wanatulisha maneno nasi tunaimba wimbo tusioujua. Historia ni mwalimu wa kweli. Tumbie mfumo dume ulianzishwa na nani, wapi na kwa malengo gani. This is the biggest fallacy of the millenia, and yet some people still believes in Santa Claus
 
cabhatica

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
1,081
477
ina maana hata wewe kwa uelewa wako unashindwa kutofautisha mavazi ya kiume naya kike???jaribu kushirikisha ubongo wako kikamilifu kabla ya kupost.

Kibol, kuna wajanja wametibua vumbi. Tusubiri vumbi litulie ataweza kuona vizuri. There is a fog but soon will clear and the truth will stand out like a sore thumb
 
Stephen Shayo

Member
Nov 13, 2012
55
11
wadada hawawezi kuwa sawa na sisi bhana daah yaani hata iweje.mwanamke ni mwanamke tu hawezi kuchukua nafasi ya mwanaume hata kama wanataka haki sawa.

mfumo dume ndo mpango mzima bhana vp aisee?
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,169
1,576
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.

... Ndugu yangu KENGE ni KENGE tu, akingia kwenye msafara wa MAMBA atajulikana kwa jinsi Mungu alivyo muumba...
 
HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
46,016
46,978
[h=5]"In this style of dress God's order has been reversed and His special directions disregarded. Deuteronomy 22:5: "The woman shall not wear that which pertaineth unto a man, neither shall a man put on a woman's garment: for all that do so are abomination unto the Lord thy God.' God would not have His people adopt this style of dress. It is not modest apparel, and is not at all fitting for modest, humble women who profess to be Christ's followers. God's prohibitions are lightly regarded by all who advocate doing away with the distinction of dress between males and females. The extreme position taken by some dress reformers upon this subject cripples their influence[/h]
 
HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
46,016
46,978
[h=5]Testimonies to the church vol 1 page 421 paragraph 003
There is an increasing tendency to have women in their dress and appearance as near like the other sex as possible, and to fashion their dress very much like that of men, but God pronounces it abomination. "In like manner also, that women adorn themselves in modest apparel, with shamefacedness and sobriety." 1 Timothy 2:9[/h]
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,771
23,036
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!

taratibu kwanza,

kazi za kiume ni zipi na za kike ni zipi?

Halafu ndoo ni ya mwanamke tu kubeba?

Mwisho kwa nini ubebndoo wakati unavuta maji ndani?
 
kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,478
2,668
Kibol, kuna wajanja wametibua vumbi. Tusubiri vumbi litulie ataweza kuona vizuri. There is a fog but soon will clear and the truth will stand out like a sore thumb

mkuu cabhatica wanahitaji kutulia sana na kujiuliza kwa kina ni usawa wa namna gani wanaouhitaji?otherwise wataendelea kucheza mdundo wasiouelewa mpaka mwisho wa dunia,tuko tofauti kwasababu tunatakiwa kuperform different duties,je ni usawa wa namna gani tunaouhitaji?
 
Last edited by a moderator:

Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
5,897
Nakushukuru Mungu Muumba wa mbingu na nchi kwa kuniumba jinsi nilivyo, Najifurahia sana jinsi nilivyo, nakusihi uendelee kunifunulia kusudi la kuniumba hivi maana najua haikuwa bahati mbaya Baba. Nisaidie pia niwafurahie wengine jinsi walivyoumbwa kwa namna yao na kwa jinsi yao kwa kutambua mkono wako haukumba kitu kibaya hata kimoja. Ni haya machache Baba. Asante sana. Amina.
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
1,693
Acheni tujiachie na mambo ya globalization kitu gani bana...nini kaptura,tunapiga hadi boxer..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom