Nitishike na kitu gani. Ha ha ha ha ha!! Ushawahi kusikia umoja wa wanaume? Benki ya wanaume? siku ya mwanaume duniani? Baraza la wanaume duniani? Mkutano wa kuzungumzia maswala ya wanaume afrika? Wanaume walio-oa marais/mabalozi/viongozi wana umoja wao? Kwa jinsi tunavyotofautiana katika maumbile, vivyo hivyo tunatofautiana katika "thinking", kufanya kazi, etc. Usione akina mama wapo jeshini ukavimba kichwa ukadhani meja jeneral mwanaume=meja jeneral mwanamke! Hutaki shauri yako. Habari ndo hiyo.
Wanatafuta kakitu kanaitwa haki sawa kitu ambacho hakipo na wakumbuke walitoka ubavuni mwa mwanaume.Mwanaume ndo kichwa cha nyumba
HoneyBee ,ukimuona Vampire msalimie sana,lakini ukimuona Swordfish mwambie namsalimia pia.. . .
"
BACK TO TOPIC!!!!
"Kiukweli dada kama hauamini kwenye biblia jambo hili linakua jepesi sana kwako.
"
Lakini kama unaamini litakufunga kwa kuwa limetolewa muongozo huko.
"
Hivyo wale wanao-quote biblia wanakua na lengo la kuwakumbusha wanawake walio Wakristo!
Very very stupid topic ever. Poor thinking capacity. Hapo ndo naona upungufu wa wanaume.
You should be thankful wanawake wanataka wawe wasaidizi, si kuchukua nafasi zenu.
Siyo haki sawa tu, kuna leo na kesho. Una mkataba na Mungu wewe? Lazima tujifunze kila kitu incase hupo naweza kufanya. Wafundisheni wake zentu kufanya kile kinachowezekana na halali acheni kulalama.
Tupo pamoja
Taken out of context. Partners , not inferior and not superior.
wanaume wa humu jf c wakweli jamani, unapotoa thread la kuwahusu wanaenda left hata kama wanaona mataa yanaruhusu right, u cant lie to urself lol........
Twenty percent aliwahi kuimba. Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba. Sasa nyie mkiambiwa ukweli mnadhani mnadanganywa. Lakini unatakiwa kujua thinking ya mwanaume na mwanamke ni tofauti sana. Na hapo ndipo tofauti ya mwanamke na mwanaume inapoanzia katika kila nyanja ya maisha. Kama hutaki shauri yako.
kua mpinzani haimaanishi kupinga kila hoja ya mwenzio, tubishe kwa hoja jameni, penye ukweli mkiri tu hamuwaoni wenzenu kina A,B,C walivyo na mtazamo chanya kwa wanawake
Si bora wao wanavaa suruali na kaptura kuliko baadhi ya Wanaume wanaojigeuza wao WANAWAKE (mashoga) tena ukiwakuta mtaani wanavyogombana na WANAWAKE utahic wao ndo wanahaki ya,kuwa wake na kibaya au kizuri zaidi wanapata support kubwa kutoka kwa Wanaume Wenzao kwasababu watejao wao ni hao hao WANAUME. So cdhani kama nidhambi kwa mwanamke kuvaa suruali kuliko ilivyo dhambi kwa mwanaume kujifanya mwanamke tena kinyume na maumbile dhambi ambayo hata Shetan anakana kuhusika.