Hivi kwanini wanawake wanataka uanaume

Hivi kwanini wanawake wanataka uanaume

Acheni tujiachie na mambo ya globalization kitu gani bana...nini kaptura,tunapiga hadi boxer..

Hahahahaaaa...kama unaniona vile. Hapa nlipo nimevaa boxer na singlet ya swt beib tunachek mpira tartiiib.

Kitu gender balance ingawa nakubal mwnmk ni mwnmk na ndume ni ndume na ninaheshimu hilo.
 
By enfuka nkulu<br />
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
<br />
<br />
Mkuu kuhusu suala la kaptura na suruali kwakweli hata mimi naona kama wanakiuka maadili, yani sometimes unakuta mtu kavaa kikaptura hadi unaogopa hata kuongozana nae bana

Kwanini uogope?? Naomba unisaidie...unieleweshe yani.
 
Suruali ni alama ya ujasiri,hebu tuangalie upande wa majeshi vazi la kivita ni suruali za kombakti.Kwa upande wa police wanaovaa rangi ya kaki na kijani wakina dada huwa wanavaa suruali.Kwa hiyo ninachataka kususema,suruali ni moja ya vazi la kijasiri.Kwa maelezo zaidi tumuulize Salama Jabiri.
 
Suruali ni alama ya ujasiri,hebu tuangalie upande wa majeshi vazi la kivita ni suruali za kombakti.Kwa upande wa police wanaovaa rangi ya kaki na kijani wakina dada huwa wanavaa suruali.Kwa hiyo ninachataka kususema,suruali ni moja ya vazi la kijasiri.Kwa maelezo zaidi tumuulize Salama Jabiri.
Kwa upande wa ndoo kichwani sasa hivi visima vya maji vipo karibu na makazi.Kaptura, joto limezidi sana.
 
wakiume nanyi, jaribuni kuvaa sketi, vitopu na heleni masikioni, pia sukeni nywele na mpewe mimba.
 
Ni uzungu unaowasumbua kila kukicha.Wengine akili zao si nzuri, wengine wakiingia Dar ndo basiiiiiiiiiii utazani walizaliwa Dar-wanajidai wajanja kuliko wazawa.
 
Acheni tujiachie na mambo ya globalization kitu gani bana...nini kaptura,tunapiga hadi boxer..
unataka kujiachia jiachienu tu lakini Mungu alivyoumba itabaki vile vile hadi siku ya kiama. Kuva suruali, kaptura, ina sikitisha sana maumbile yenu haya waruhusu na kama mana globalization ni sawa lakini kwa taarifa yako ukiwaona unao sema wana fanya hivyo si wao bali mazingira ndio yanawafanya wafanye hivyo. Nakupa mifano michache tu wao wana weather tofauti sana na sisi wakati wa joto wanachubuka sana sehemu za siri hivyo ilikuzui hiyo hali ni bora kuvaa vikaptura na pengine hata kutokuwaa kabisa na kubaki na chupi tu na kinguo cha kufucha kidogo wakati w abaridi wana vyaa suruali maana n baridi ni kali sana hivyo ili wajikinge inawabidi wavae nguo za aina hiyo. Je wewe bongo una mazingira hay???? au ni kukengeuka na kuacha mira na destru zetu???? tafakari chukua hatua
 
Hujajibu swali. Huwezi kuwa na maendeleo na mentality hiyo. Kazi ya mwanamke ni zaidi ya kubeba ndoo na kuzaa utitiri wa watoto. Si kujilinganisha na mwanamme. Usitishike sana mkuu. Ungana nasi karne ya 21.




Acha hizo wewe. usijifanye mjanja. Mwanamke hata siku moja hawezi kujilinganisha na mwanaume katika kila nyanja. Habari ndio hiyo. Hutaki kukubali shauri yako.
 
Na nyinyi wanaume muanze kuvaa bikini,sketi na blauzi ili tuende sawa.
 
Hujajibu swali. Huwezi kuwa na maendeleo na mentality hiyo. Kazi ya mwanamke ni zaidi ya kubeba ndoo na kuzaa utitiri wa watoto. Si kujilinganisha na mwanamme. Usitishike sana mkuu. Ungana nasi karne ya 21.

Nitishike na kitu gani. Ha ha ha ha ha!! Ushawahi kusikia umoja wa wanaume? Benki ya wanaume? siku ya mwanaume duniani? Baraza la wanaume duniani? Mkutano wa kuzungumzia maswala ya wanaume afrika? Wanaume walio-oa marais/mabalozi/viongozi wana umoja wao? Kwa jinsi tunavyotofautiana katika maumbile, vivyo hivyo tunatofautiana katika "thinking", kufanya kazi, etc. Usione akina mama wapo jeshini ukavimba kichwa ukadhani meja jeneral mwanaume=meja jeneral mwanamke! Hutaki shauri yako. Habari ndo hiyo.

 
Na nyinyi wanaume muanze kuvaa bikini,sketi na blauzi ili tuende sawa.

Ukiona mwanaume dizani hiyo, ujue huyo shoga. Siku zote mwanamke ana jitahidi sana ili aweze kufana na mwanaume. But the opposite is hard to find.
 
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!


mi napita na Ki Kabtura changu ..nisije kuchapwa hapa bure .. kwi kwiiiiiiiiiiii
 
28vq4o9.jpg
 
Mtoa mada ninaweza kukubaliana nae kwenye maana ya jumla ya mada yake.
"
Kwamba ni lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu kwenye jamii.
"
Hii haina maana ya kuwa kuna kazi za kike na kiume.
"
Wakati Mungu anafanya mgawanyo huo hakumaanisha kuwa majukumu aliyompa mwanamke ni ya kike na ya mwanaume ni ya kiume.
"
Mungu alijua ni lazima kati ya mzazi mmoja abaki nyumbani ili afanye majukumu ya nyumbani,kama kupika,kufua,kusimamia usalama wa watoto wadogo pale nyumbani n.k.
"
Pia kuliihitajika mtu wa kutoka aende akatafute mahitaji nje na nyumbani.
"
Mambo yote hayo huwezi kuyapuuza.Hamuwezi mkabaki wote nyumbani,pia hamuwezi mkatoka wote.
"
Mkifanya yote tarajieni matokeo hasi tu.
"
Japokuwa ni vigumu kukubali lakini ni kweli kuwa,tokea mwanaume na mwanamke walipoanza wote kutoka na kuwaacha watoto na ma HG au HB ndipo maadili yalipoanza kupotea na tabia za hovyo kuwepo.
"
Umuhimu wa mtoto kulelewa na mzazi hauwezi kukwepwa!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
mkuu cabhatica wanahitaji kutulia sana na kujiuliza kwa kina ni usawa wa namna gani wanaouhitaji?otherwise wataendelea kucheza mdundo wasiouelewa mpaka mwisho wa dunia,tuko tofauti kwasababu tunatakiwa kuperform different duties,je ni usawa wa namna gani tunaouhitaji?

sidhani kama kuna kutaka uanaume.unaposema kazi za kiume nashindwa kukuelewa,ukisoma mithali tunapewa sifa za mke mwema(mith 29:10-31) hapo biblia takatifu inamchambua mke mwema kwa kazi na kuongeza mapato ktk familia kisha moyo wa mume wake HUMWAMINI, narudia tena MOYO WA MUME WAKE HUMWAMINI sidhani kama unauelewa vzr mstari huo.
 
HoneyBee ,ukimuona Vampire msalimie sana,lakini ukimuona Swordfish mwambie namsalimia pia.. . .
"
BACK TO TOPIC!!!!
"Kiukweli dada kama hauamini kwenye biblia jambo hili linakua jepesi sana kwako.
"
Lakini kama unaamini litakufunga kwa kuwa limetolewa muongozo huko.
"
Hivyo wale wanao-quote biblia wanakua na lengo la kuwakumbusha wanawake walio Wakristo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom