Hivi kwanini wanawake wanampenda mwanaume anaepaka breach?

Mkuu sema unapaka breach na unataka sapoti ya sisi wazee wako
Breach acha kabisa zimekaa kama mchele wa mbalali
 
Hao watakuwa ni wasichana sio wanawake. Soon shule zikifunguliwa hatutosikia mada mufilisi kama hizi.
 
Labda unaongelea watoto wa kike yaani wadogoo, yaani na utu uzima huu sijawahi kupenda wapaka bleach na sidhani kama ntakuja kuwaelewa. Being smart si lazima kuwe na mableach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…