Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
bleach ndiyo ile kama ya Ndandaa Kosovo kichaaa??
bleach ndiyo ile kama ya Ndandaa Kosovo kichaaa??
Mkuu sema unapaka breach na unataka sapoti ya sisi wazee wakoDaaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako nazipenda sana nywele zake nikamwambia duh akasema ndio maana nasikia anakimbiza mtaa mzima sisi wanawake tunapenda wanaume watanashati wanaopaka breach.
Hivi kwann wanawake wanapenda wanaume wanaopaka breach kichwani?
Sio mm mkuuMkuu sema unapaka breach na unataka sapoti ya sisi wazee wako
Breach acha kabisa zimekaa kama mchele wa mbalali
Ile kama ya djuma shabanbleach ndiyo ile kama ya Ndandaa Kosovo kichaaa??
Kwani wanawake huwa unawaelewa?
Sipendezwi naye.Daaah kwann madam?