Hivi kwanini vijana wengi wa mtaani wanapenda sana lugha ya kizulu?

Status
Not open for further replies.
Eti kuongea kizulu?
Wewe kijana mada zako zimekaa kizumbukuku sana hivi unawezaje kuongea sana lugha fulani wakati maneno ya lugha yenyewe unayoyafahamu hayazidi hata maneno matano?

Unaweza kuongea English sana wakati maneno ya English unayoyafahamu ni how are you na thank you tuu?

Au kizulu Tanzania ni lugha ya kufiundishia mashuleni siku hizi?
Mkuu mbona umekasirika ghafla?
Nini shida?
 
Watoto wengi wanaoimba singeri ni wa mitaa ya uswahilini kama vile Manzese,Magomeni,Tandare na n.k.Na huko stori nyingi ni za watoto wa kiuni ambao wengi walienda au wanaendelea kwenda huko.
Wewe kweli sio mjanja yani inafikiria mtu yoyote aendae hapo south ni mhuni wa uswahilini? ??south Africa ni nchi ya biashara na wewe huwezi elewa
 
Lugha za nyanda za juu nyingi zinaendana so kama unampango wa kwenda hakikisha kingoni Ku he he kibena na kinyaqusa unakijua vzr. huko ukienda hawakiteti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom