Hivi kwanini vijana wengi wa mtaani wanapenda sana lugha ya kizulu?

Status
Not open for further replies.

chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,794
2,000
Eti kuongea kizulu?
Wewe kijana mada zako zimekaa kizumbukuku sana hivi unawezaje kuongea sana lugha fulani wakati maneno ya lugha yenyewe unayoyafahamu hayazidi hata maneno matano?

Unaweza kuongea English sana wakati maneno ya English unayoyafahamu ni how are you na thank you tuu?

Au kizulu Tanzania ni lugha ya kufiundishia mashuleni siku hizi?
 

mwalwebe

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
821
1,000
Hivi kwa nini vijana wengi hasa wale wa uswahilini na waimba singeli wanapenda sana kuongea kizulu kuliko lugha nyingine yeyote ?
Wengi hawajui hata kizulu,miaka ya tisini ilikuwa kama identity kuonyesha kwamba walishafika south,mpaka inatokea kijana akisikia kuna jamaa ametoka south unatafutwa ili mradi tu apewe michapo alafu baadaye azamie,wengi walikuwa wanarudishwa kama deportees.
 

24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,599
2,000
unge orodhesha hayo maneno ya kizuru na sikuizi sauzi xi ishu tena wengi wankufa sana uko.....
 

Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,249
2,000
Wengi wao walikuwa mastorway washaenda sana south, na kule wazuru wanaongea sana kizuru kuliko kiingereza. Kwahiyo nirahisi kwao kujua kizuru, ukikijua ni tamu sana. Siyabonga mfwetu, syapila, ufumapi eeh yaani ndo vile!!
 

HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Wengi wao walikuwa mastorway washaenda sana south, na kule wazuru wanaongea sana kizuru kuliko kiingereza. Kwahiyo nirahisi kwao kujua kizuru, ukikijua ni tamu sana. Siyabonga mfwetu, syapila, ufumapi eeh yaani ndo vile!!
ngothukazelisayo mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom