Hivi kwanini vijana wengi wa mtaani wanapenda sana lugha ya kizulu?

Status
Not open for further replies.
Labda mitaa ya south,
Mm Niko mwanza mjini,
Sijawah kusikia sijui hata neno moja LA kizulu
Mitaa gani hiyo unazungumzia
 
Ni kwamba kipindi cha zamani ilikuwa lazima upite MABODER MENGI ya hatari...kuanzia MTWARA..hadi kuipata maputo LAZIMA UJUWE KIBANGUBANGU na PORTUGESE hadi unaipata DURBAN....au joberg...NI MIEZI SITA umesota NJIANI....na miji yote hyo lugha ni KIZULU ZAIDI ndy KINACHOONGELEWA......na pia SOUTH Africa WAZULU ndy LUGHA Ya KIBABE..na wengi ni WAKOROFI...so ni kama ID ya SOUTH AFRICA... na ndy wenye south africa yao..NA VIJANA WENGI WALIISHIA MIJI HIYO KWA KIPINDI CHA MIAKA YA 80 hadi 90 hawakuweza kujitawanya kwenye miji MINGINE ya mbali kwa hofu ya kuogopa KUKAMATWA.....na makabila mengine ni kama yalikuja tu pale...MFANO watswana...walitoka botswana...kuna wastwat..walitoka Swaziland.. Kuna wasuthu..walitoka lesotho..kuna wandebele wametoka Zimbabwe..NA kuna KHOTSA...kuna VENDA...Nk....
e25eb2decbdd7aad01e557fd0720e1fc.jpg
hilo ndy boder la Mozambique na south...maeneo hayo wengi waliliwa na simba....KABLA YA KUFIKA HAPO..pia kufika hapo..sio mchezo....unaweza chukuwa hata miezi sita tangia uanze safari yako MTWARA hadi kufika hapo....hilo ndy boder la KIBAHARIA..boder la hao wanaoongea MANENO YA KIZULU....ukifika DURBAN utawaona na VIBEGI mgongoni MUDA wote....kuonyesha wao MUDA wowote wanapanda meli...
 
Zamani likuwa ili uwe msela lazima uwe umejaribu au kufika SA.
Lugha ilikuwa maarufu koz wakirudi lazima watumie hayo maneno hata kama aliishia Mozambique.
Wapo waliofanikiwa na wengine hawajarudi tena. Ila maskani huwa wanabandika picha zao wale wanaokutana nao huko wanapiga nao picha na kuzileta maskani.
 
Zamani likuwa ili uwe msela lazima uwe umejaribu au kufika SA.
Lugha ilikuwa maarufu koz wakirudi lazima watumie hayo maneno hata kama aliishia Mozambique.
Wapo waliofanikiwa na wengine hawajarudi tena. Ila maskani huwa wanabandika picha zao wale wanaokutana nao huko wanapiga nao picha na kuzileta maskani.
Wenza wena e south Africa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom