Qs Cathbert
Member
- Mar 20, 2023
- 84
- 166
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
NIDA Ndiyo Number PlateKila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
Iyo NIDA sio plate namba, au mpaka ubandikwe usoniKila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
Birth certificate ndio plate yakoKila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
Tunazo.Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
Kabla ya NIDA kuna cheti cha kuzaliwaIyo NIDA sio plate namba, au mpaka ubandikwe usoni
Plate no yako ni nida au passport au kotamburisho chako kina namba ndiyo plate no yakoKila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
Uko sahihi 100%. Tulia inakuja gwajima aliwai dokeza wakati wa corona, yenyewe itakuwa mfano wa kama IP address, ila bado haikajulikana kama itakuwa physical address ( samahani kuchanganya lugha) kama uko muslim sio rahisi ila wakristo wengi wanajua ni mfumo ambao dunia inaelekea huko yaani One World Order. Google utapata maelezo ya kutosha. Au tafuta the last pope.Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie woteğŸ«
Magari yana majina kama Toyota, Bmw, Mercedes pia katika Toyota kuna majina tena Crown, Ist Vits etc. Why do they still having plate numberKwanini tuwe na plate number?,
Tuanzie hapa kwanza
Iko ndani ya ID zote hiifinger print zako ndio plate number zako..hakuna inayofana na wewe..hiyo ndio Mungu aliyokuwekea
Thanks let me check on it📌Uko sahihi 100%. Tulia inakuja gwajima aliwai dokeza wakati wa corona, yenyewe itakuwa mfano wa kama IP address, ila bado haikajulikana kama itakuwa physical address ( samahani kuchanganya lugha) kama uko muslim sio rahisi ila wakristo wengi wanajua ni mfumo ambao dunia inaelekea huko yaani One World Order. Google utapata maelezo ya kutosha. Au tafuta the last pope.
Inaelekea una akili nyingi ndani ya
kichwa