Hivi kwanini Mwl. Nyerere hakupewa PhD?

Wewe akili huna. Anaitwa na nani? Unaitwa na ofisi yako halafu unachekelea? Mbona kwa Nyerere haikuwa hivyo? Au yeye Nyerere hakuwa na hizo shahada? Punguani kweli wewe.
Anaitwa kama Nyerere alivyoitwa na Mugabe.
Zimbabwe President Robert Mugabe has described the failure by African leaders to honour Julius Nyerere, Tanzania's first president, for his role in liberating the continent as embarrassing.The 90 year-old leader was speaking at a belated birthday party hosted by his staff shortly after returning from Singapore where he had had an eye operation on Saturday.He said African leaders should do more to honour Dr Nyerere who made his country a sanctuary for liberation movements.The veteran nationalist is believed to have played a key role in President Mugabe’s rise to power, reportedly preferring him to the late Dr Joshua Nkomo.“I want to say, when all honour has been showered on heroes in Africa, the man who has been humiliated is Mwalimu Julius Nyerere,” President Mugabe said on Saturday.“There we are, liberation movements, there we were - depending on the resources in Tanzania.“But there has been nothing said about this man and his country at the OAU (Organisation of African Unity).(Kwame) Nkrumah (of Ghana), yes, he had that support.”
 

Povu linavyokutoka,sasa huu ni upuuzi gani ulioandika? Yani unabwabwaja tu tena nnje kabisa ya mada husika,hebu rudi kwenye mada.wewe ndio umebore hasa!
 
Hadi Pyongyang University, kipindi Kim Jong Il akiwa madarakani???
Shikamoo Mwl. J. K. Nyerere.
 

Hakuhitaji sifa za kijinga.elimu yake alioipata kihalali aliridhika nayo....
 
Yule mzee alikuwa mnyenyekevu sana, hakupenda kujikweza. Nakumbuka mwaka 1997 akipewa Honoris Causa pale SUA, Chancellor hakutaka apige magoti kama wahitimu wengine yeye akagoma. Akasema lazima utaratibu ufuatwe na watu wote...
 
Nyerere hakuna mfano wake. Acha kabisa kile kichwa, ni moto. Angeamua mwenyewe kusoma PhD alikuwa na uwezo mkubwa wa kumaliza hata kwa muda mfupi zaidi ya uliopangwa. Wenye akili huwa hawajisifii. Tatizo yale madafu yasiyokuwa na uwezo ndiyo yakipata makalio hulia mbwata. GPA ya 2.1 degree ya kwanza huwezi hata kuruhusiwa kusoma masters sembuse PhD! Ukipewa ya heshima lazima uite media wakutangaze na ole wao wasipokutangaza!
 
Mheshimiwa Mkapa naye alipata hizo PhD za heshima akiwa madarakani pale magogoni. Lakini kwakuwa uwezo wake ni mkubwa kiakili hajawahi hata siku moja kutambia huo mdebwedo unaotolewa wakati mwingine kwa vyuo kujigonga tu kwa mkuu wa nchi kwasababu za maslahi binafsi wakitumia vikao halali vya vyuo isivyo halali ili vipitishe jina! Obama, Havard PhD Graduate, mbona alishiti kupokea PhD ya heshima ya chuo fulani nchini!
 

Wewe dogo unazungumzia Tanzania baada ya Vita ya Kagera? Unaifahamu Tanzania ya kabla vita na kuvunjika EAC ilikuaje?? Mnakaririshwa ujinga na wapumbavu wenzio unakuja kuandika hapa!

Kama kuna kipindi ambacho Watanzania walionyesha ubunifu ni wakati huo! Watu wakiwa ktk shida ndipo akili zao zinafanya kazi. Wazungu na Waasia wamepiga hatua kubwa ktk teknolojia na sayansi kwa sababu ya mazingira magumu ya mazingira yao.
 
Povu linavyokutoka,sasa huu ni upuuzi gani ulioandika? Yani unabwabwaja tu tena nnje kabisa ya mada husika,hebu rudi kwenye mada.wewe ndio umebore hasa!
kama ungestick kwenye mada hata nisingekugusa. tatizo uliandika utumbo. karudie tena kusoma ulichoandika kama hutoona haya kuja kunijibu.
 
hayo maisha nimeyaishi na sio kukaririshwa. au wewe ndo umekaririshwa kila anayefikiria tofauti na wewe hayuko sawa nini?? jitathimini.

 

Kaka usibishane na zuzu, lini zuzu akaelewa? Hawa lazima ni uzao wa wale waliokomeshwa mirjja yao na Nyerere. Wanawasifu viongozi wa sasa kwa vile wamefungulia tena mirija kwa jina la uwekezaji. Hawana huruma na watanzania kabisa
 
Kaka usibishane na zuzu, lini zuzu akaelewa? Hawa lazima ni uzao wa wale waliokomeshwa mirjja yao na Nyerere. Wanawasifu viongozi wa sasa kwa vile wamefungulia tena mirija kwa jina la uwekezaji. Hawana huruma na watanzania kabisa
Shika adabu yako zuzu baba yako na mama yako waliokuzaa unaonekana mtoto wa halamu wewe malezi uliolelewa na mabovu ndiyo maana unatukana watu ovyo.
 
Shika adabu yako zuzu baba yako na mama yako waliokuzaa unaonekana mtoto wa halamu wewe.

Sijafundishwa kutukana, nilikuwa namweleza ukweli ndugu yangu Dudus kuhusu caliber yako, -kama nakuona vile unavyonyong'onyea kila inapotajwa Legacy ya Nyerere; siui na hili utaelewa?
 
Shika adabu yako zuzu baba yako na mama yako waliokuzaa unaonekana mtoto wa halamu wewe malezi uliolelewa na mabovu ndiyo maana unatukana watu ovyo.
una akili za nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…