50 cent huwa namuona mkundu tu, sorry for the foul language but jamaa anakeraaaaaπ‘π‘π‘π‘π‘. Huwa sijui anajiona special or sumn kumbe ni mtu tu kama wengine na anapenda kuzodoa wenzake tu.Bifu hizi huwa zinampa faida gani 50, coz huwa anatusi saana ma black wenzake..hana rafiki jamaa .hata loyd bank mwana G unit mwenzake ashamkimbia
Hapo mkuu umenena yan katka maisha yangu yote hii ndio quote bora ya mapenzi nliowah kuiona.Mapenzi ni yote kuhusu uongo.
Ukiwa mkweli kama mimi mapenzi tunakuwa hatuyawezi.
Alinunua kweli ticket 200 za siti za mbele kisha akakaa yeyeπππ! 50 ni mkundu sio siri, ana mambo za kisenge kinoma!Hadi joe alipotezwa sio ja rule tu...
Vp ile show ya ja rule ilifanyika Ambayo 50 alihaidi kununua tiketi 200
Hahahahah repetition nothing new in this forum anymoreSioni umuhimu wa kujadili mambo yale yale kila siku!
Alinunua kweli ticket 200 za siti za mbele kisha akakaa yeyeπππ! 50 ni mkundu sio siri, ana mambo za kisenge kinoma!Hadi joe alipotezwa sio ja rule tu...
Vp ile show ya ja rule ilifanyika Ambayo 50 alihaidi kununua tiketi 200
Aaaka...kuna binam yngu nlmkumbuka
Wapo. si unajua unaweza kuwa umemtamani tuHahah hivi kuna mtu ambae hampendi manz au msela wake ukichukulia toka umemuona hadi kumtokea au ukamkubaliaπππ
Hahahah halafu ndio unaniambia hilo leo hata sikuwahi kujua, nahisi ilitokea tu kama Coincidence, he flashes a lot of memories in my mind huyo mwamba cant stop listening to his hits.
Moyo wa mtu kichaka! Bora kuviziana tuπππππ kwahio mnaona sawa tuendele kuviziana kati ya wapoteza pesa na wapoteza muda
Inapendeza kuona maoni ya watu tofauti, wale wenye kuona inawachosha waende majukwaa mengine nadhani yapo mengi tuπππππHahahahah repetition nothing new in this forum anymore
Mtu akiwa bored anajitungia mada ili tu kupass time teh
Hapo ndipo utata unapokuja na adui wa mwanamke ni upweke, hapo katika utawala wangu anaweza akafanywa chochote!Ndugu mfumo mzima wa maisha ndo unatuharibu
Na pia n kama sisi tulivo na tamaa bas na wao nd hvyo hvyo
Tunajtahd sana ila sincerely speaking huwez kmtimizia mwanamke kila kitu
Mwanamke akiwa deeply in love hutaka mda wote muwe mnawasiliana....means ucende chooni...usile....na pia ucwe bize...!!
Wanaume hatuwezi hili coz adhabu ya kutafuta kwa jasho inatubana..!!
Na kwanza haya mambo yalishaisha 2014....now days tupo dunga dunga tuuu...!!