Hivi Kwanini Lowassa anautaka Urais?

Lowasa ana nguvu sana ndani ya CCM, Linapokuja suala la Kitaifa, Lowasa ni Mwepesi Mno mbele ya CDM, Lakin huyu Bwana bado tu anataka kutumia udhaifu na Ukwasi wake ndani ya CCM agombee Urais, kwa Lugha Nyepesi, Lowasa anajuaisa akisimama kabisa akisimama 2015 basi CDM watashinda kirahis zaid, akini bado anakomaa tu.

My Take:
Lowasa ametumwa na Mungu kufanikisha Kifo cha CCM
 
1. kwa sababu nafasi hiyo itakuwa wazi ifikapo 2015
2. anazo sifa za kuwa rais
hISTORIA YAKE INAMHUKUMU. Kweli kabisa, katika kipindi hiki cha tanzania kuvumbua mafuta , gas na madini ya uranium, Tunatakiwa kumpata mtu design za ngwirurupi Brown, Paul Sozigwa na Makweta. Au tukimweka Lowassa Edo, basi lazima tuweke adhabu ya Kifo na kiweko na kifungu katika katiba cha kumhukumu raisi kama akifanya wizi au kuchafua offisi yake.

Uchaguzi wa 2015, tuwe makini sana na mtu wa kutusaidia kupunguza ukosefu wa ajira na kutujengea uchumi. Tanzania sasa ina rasilimali nyingi sana kupita Ivory Cost, Kenya, Botswana na senegal. Sasa kwa nini tupo nyuma kimaendeleo. Kweli kabisaa Tukimpatia Lowassa nchi, najua atafanya mazuri sana ila yale mabaya atakayofanya, mobutu kasingiziwa.

halafu urafiki wake na Lostam aziz na wahindi matajiri, nao unatisha.
 
jamani hivi kwani tayari wagombea wameshaanza kampeni? ama wamesha tangaza nia?

to me kama ametangaza nia nampa sapoti mia kwa mia. sababu zangu ni hizi hapa:-
-mtu jasiri sana asiyeogopa kitu.
-utendaji wake hasa alioutolea uamuzi mgumu ulifaa ingawa ukupata sapoti ya kurasimisha kuwa endelevu mfano uanzishwaji wa mem na mess. na hata zahanati. kikuweli amesaidia sana kwa mpangi huu ila tu uliitaj mboreshoa mabyo naamin angekuwepo basi angeweza kuyafanya.
- mtu mwenye nafsi ya kuamrisha na sio kufanya unafki wa kujifunika na kivuli chake mwenyewe.
-simuoni kama mtu amabye ana dhiki haadi ya kuifanya familia yake imiliki tazania kama baadhi ya viongozi wengine
-alikubali kuwa mbuzi wa kafara narejea maneno yake kwa mkulu " hivi mhe. presdaa kuna nililolifanya ndani ya serikali bila wewe kujua?'
 
Tatizo letu waTZ ni kwamba 2metawaliwa na ushabiki na ubinafsi. Mtu anampamba EL kwa kuwa anajua akichukua Ikulu nae atakumbukwa,hakuna mwenye kuangalia maslahi ya taifa. Rushwa ndo imekuwa kila kitu nchini kwetu,mpaka rais wa nchi analalamika,leo tumuweke bwana EL hata cjui nchi hii inaenda wapi! Hapa cha kufanya ni kutumia mitandao yote ya kijamii kumwanika huyu rais wao mtarajiwa ili wananchi walio wengi wapate kuelewa na kumshtukia mwana mtandao huyu! Pesa anayovmia ni ya kwetu wananchi waitumie pale anapoigawa na mwishoni wamwache na ujumbe wake wa NEC ya CCM"
 
Sababu ni wazi,

kuhakikisha kuwa mtandao wa mafisadi unaendelea kutawala il;
  • kumlinnda kipenzi jk na mafisadi wengine dhid ya mkono wa sheria baada ya chama cha magamba kuangushwa 2015.
  • kuendeleza ufisadi na wizi kwa lengo la kuwaghiribu wananchi wajinga na kuwaacha wakiamin kuwa enzi za jk hakuna kibaya kilichofanyika kwani mambo yatakuwa yaleyale yakifanywa na watendaji walewale
  • kuhakikisha kuwa kile walichopanga na best wake jk cha kunufaika on the expence of the poor kinakamilishwa
 
Kitendo cha kuyatafuta madaraka kwa udi na uvumba kinaleta mashaka makubwa,kina akisi kwamba tuendako kuna jambo baya anataka kufanya kwa kuwa watu wenye busara ya kuutaka Urais huwa hawapambani kuutaka urais,ni wajenzi wa hoja ni weledi siku zote,ni watulivu sana.Hizi papara za kutafuta kila namna ili kuingia Ikulu kuna jambo gani linalotafutwa kwa gharama kubwa?

Kwa kweli kama mtoa mada alivyojenga hoja yake kuwa mtu wa aina hii ni wa kumwogopa sana.Na kama Taifa tukifikia hatua ya kumpa madaraka Mh.Lowasa ni njia nyingine ya kuangamiza Taifa hili na kwa kweli historia itatuhukumu kwakutotimiza wajibu wetu,watu wenye roho mbaya na wasio amini uwezo wa wengine hujiona wao ndo kila kitu na hsa akifanikiwa kimaisaha hujiona wao ndo wenye kustahili kila kitu na kila jambo wao ndo wanaweza wakati sio kweli.Tunahitaji mtu mwadilifu wa kutupeleka tutakako na kwa kweli kwa MH.Lowasa anastahili cheo alichonacho hayo mengine hastahili.
 
EL, ni mmjowapo wa wanasiasa wenye nguvu ktk taifa hili, na ndo maana anapokanyaga nchi inatikisika na maadui zake kisiasa wanaingia baridi, na kuanza kumzushia mambo kibao, mf wapi? EL katamka kuwa anautaka uraisi. yeye alichosema kila mtu anamalengo yake kisiasa hivyo hata yy anayakwake kisiasa kumbuka; ni mwanasiasa, mkulima,mfugaji. mfanyabiashara na mwanadiplomasia
 
Lowasa uwezo anao, anao msimamo, hana tamaa kiviile so he deserve 2 be a presida
 
EL, ni mmjowapo wa wanasiasa wenye nguvu ktk taifa hili, na ndo maana anapokanyaga nchi inatikisika na maadui zake kisiasa wanaingia baridi, na kuanza kumzushia mambo kibao, mf wapi? EL katamka kuwa anautaka uraisi. yeye alichosema kila mtu anamalengo yake kisiasa hivyo hata yy anayakwake kisiasa kumbuka; ni mwanasiasa, mkulima,mfugaji. mfanyabiashara na mwanadiplomasia
Baba umeshaingiza siku kachukue chako kwa EL
 
Labda amevutiwa na jinsi jk anavyosafiri safiri angani na hajawahi pata hata ajali moja.
 
Nadhan ni sababu zilezile zinazowafanya na wengine wautake uraisi!
 
Heshima Mbele

mheshimiwa Membe umekosea jina ukajiita Gembe. Pole kwa kuchelewa wenzio wako spidi hasa, usitegemee urais wa kubahatisha.
 
Bora tajiri awe rais kuliko maskini maana maskini atataka ajitajirishe kwanza wakati tajiri hiyo stage kaishaipita
Hujaona hao mtajiri wanasain mikataba hata bila ya kuisoma? Funguka ndugu yangu kosa letu sisi mateso kwa wanetu. Inauma sana
 
Lowasa ana nguvu sana ndani ya CCM, Linapokuja suala la Kitaifa, Lowasa ni Mwepesi Mno mbele ya CDM, Lakin huyu Bwana bado tu anataka kutumia udhaifu na Ukwasi wake ndani ya CCM agombee Urais, kwa Lugha Nyepesi, Lowasa anajuaisa akisimama kabisa akisimama 2015 basi CDM watashinda kirahis zaid, akini bado anakomaa tu.

My Take:
Lowasa ametumwa na Mungu kufanikisha Kifo cha CCM

Mkuu wewe ni mgeni wa siasa za Tanzania. Labda nikuulize ivi karibuni uliwashamsikia Dr.
Slaa au Mbowe wakimshutumu Lowasa? wewe unajua kwa nini Milya na his likes walihamia CDM? Ukiweza kudecode maswali hayo nadhani utakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuchangia
 
Heshima Mbele

Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua?

Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa atalisaidiaje Taifa? Je, Pesa hizi anazotumia kuweka watu wake kwenye Chama tawala atazirudishaje?

Nimeanza kuogopa sana na kama watanzania wakikubali kuzugwa tena 2015 na kuchagua viongozi ambao wana mvuto wa sura, mvuto wa kutawala bila kuangalia rekodi yao ya nyuma taifa litaenda kubaya sana.

Taifa linaoelekea kupata Gesi na Mafuta linahitaji viongozi makini ambao wataweza kulivusha taifa, kutuondoa kwenye lindi la umasikini na kujenga utawala bora.

Mkuu katika hali iliyopo kwa sasa ni wazi kabisa kuwa usalama wa mafisadi hapa Tanzania upo kwenye kushinda urais mwaka 2015, vinginevyo they will have a huge price to pay and if we get a serious candidate they are very likely to end up behind bars.

Ukikumbuka na machungu waliyopata wengine mwaka 2005 wakati CCM mtandao wanafanya harakati za kuingia madarakani, na events zilizotokea nazitakazotokea hadi 2015, kunaweza kukawa na kisasi kikubwa kwa wanamtandao kama mtandao waki-lose.

So far ukianza kuangalia inaonekana ni rahisi sana kuwanunua watu watakaopiga kura kuchagua mgombea urais kwa tiketi ya CCM, kwa kuwa upepo unaelekea huko. Na imani kwamba CCM watashinda urais by default regardless ya mgombea wake ni nani.

Lakini something dramatic can happen and tilt the balance ndani ya CCM, au mazingira ya kucheza foul yakaharibiwa na wakashindwa kuchakachua kura na opposition wakashinda, hapo mtu anaweza kuingia bonge la hasara.

Hata kama atashinda sidhani kama kuna lolote la maana atakalolifanya kubadilisha hali ya Tanzania, kwa kuwa alipokuwa PM hakuna la maana lililofanyika akiwa kama kiongozi wa serikali, isipokuwa matataizo makubwa yalitokea wakati huo.

Watu walimsifu kwa kubana mianya ya wizi wa fedha kwenye halmashauri, wakisahau kwamba alitaka serikali iwe na mapato mengi ya kuilipa Dowans au Richmond(you know what this means).

Ndio maana ana pesa za kutosha kuwaunga mkono watu anaotaka wawe kwenye mkao wa kumpigia kura. Kwa kawaida mtu akiinvest huwa anapata returns na returns zake zinakuwa kubwa zaidi kuliko investment yenyewe, Ni sisi tutakaolipa.

So kwa EL urais ni kufa na kupona.
 
hana jipya ni kama mwenzake JK ambaye hata mawaziri waker hawana power juu ya makampuni ya ndani refer sakata la ARV (UONGOZI wa kiwanda cha kutengeneza dawa za kupunguza makali ya Ugonjwa wa Ukimwi (ARV) cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI), umesema hautasitisha uzalishaji wa dawa hizo kwa kuwa hauna barua inayowakataza kufanya hivyo kutoka mamlaka yoyote.) sisi hutafanyi kazi chini ya wizara tupo chini ya MSD
 
Back
Top Bottom