Hivi kwanini klabu ya Yanga inashindwa kuheshimu logo za klabu nyingine?

Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Siyo kwamba tumsikilize Zahera kuhusu Viongozi Wanaingilia Majukumu ya Kocha na bench la ufundi..
 
Siyo kwamba tumsikilize Zahera kuhusu Viongozi Wanaingilia Majukumu ya Kocha na bench la ufundi..
Mchezo wa kuingilia bench la ufundi kwa maana ya kutaka kumpangia kocha wachezaji upo well documented kwenye club ya Simba.
 
Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.

Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.

Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Ebu weka ushabiki pembeni tujadili hili Jambo kwa uzito wake.
 
Leo Valentine's Day
Hata Yanga Wamevaa Nguo Nyekundu 😅😄😃😂😁😁😍😍😘😋🤩🤩
 
Acha kusumbuka na vitu vilivyozidi uwezo wako. Fata ya timu yako haya ya Yanga huyawezi. Yaani wenye biashara zao wamekubali wewe nani hadi ubweke? Hujistukii?
 
Imekuaibisha wewe peke yako sisi wengine tunaunga mkono hilo suala
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…